Ongezeko la bei ya mafuta na miamala nani wa kutupiwa lawama hi? Bunge, Raisi SSH, hayati JPM au Waziri wa fedha?

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,262
12,835
Kwa mara ya kwanza watanzania wameonyesha upendo wa dhati kwa Raisi wetu Mama SSH, hata kwenye wizi hu wa kuongeza bei ya miamala na mafuta hawataki kumsema, wameamuwa kumbebesha waziri wa fedha Mwigulu Nchembe lawama hi, pamoja na Bunge la CCM ambao halikuchaguliwa na wananchi.

Bado Mama anaupiga mwingi kwa wote wapinzani na wana CCM, sisi tunaamini Mama hakupewa briefing ya kutosha kabla ya kusaini hilo ongezeko ambalo limewashida hatakulielezea, eti tonzo la kizalendo, hamna kitu kama hicho uzalendo ni hiari na kodi ni ya lazima wapi na wapi?

Suali kuu ni kwamba nani wa kulaumu? Katika kumtia dowa kama hili Mama? Na % kubwa hii kodi inaenda kuwa revised completely, kwasabu hata sifa nzuri za kodi haina (features of good tax)lazima iwe progressive, covinient to pay, Easy to hide, nk.
 
Wewe mawazo yako finyu, nani aliyekuambia kuwa UZALENDO ni hiari! Yaani kuipenda nchi yako ni hiari?? Sasa utalipa kodi utake usitake!
 
Kwani wasio kua wazalendo wanapewa adhabu gani? Kama sio hiari, wakati ukikata kulipa kodi adhabu ipo
 
Wabunge wazalendo hawakatwi kodi kwenye mishahara yao wanaanzisha kodi kwa watu masikini kwa mgongo wa uzalendo hizo hizo pesa utasikia taarifa ya wizi kutoka kwa Kichere...CAG
Wameshindwa kufufua mapato mengine ya serikali wana kimbilia kuumiza wananchi ili kupata pesa kirahisi na bure hapo ndo ujue hatuna wana uchumi hamna wanauchumi (economic think tank) zile PhD ni karatasi tu. unakumbali je ongezeko kama hilo la miamala almost 100%, litakua na impact kubwa kwa mausha ya wananchi.
 
Angekuwapo yeye JPM unadhani hata hiyo bajeti ya kumkandamiza mnyonge ingeenda bungeni namna ilivyo, asingeruhusu kamwe. Mnawashwawashwa kumtaja mwamba wakati nchi keshawaachia.
Hao wabunge na ma mawaziri asirimia kubwa kawachagua nani kama sio jpm? Kwahiyo wanavyo fanya ndo maagizo alio waachia, mama inabidi abadili hao mawaziri mizigo wa jpm na wa bunge kama itawezekana 2025, ndo tutapata wakirishi wa watu halisi
 
Hao wabunge na ma mawaziri asirimia kubwa kawachagua nani kama sio jpm? Kwahiyo wanavyo fanya ndo maangizo alio waachia, mama inabidi abadili hao mawaziri mizigo wa jpm na wa bunge kama itawezekana 2025, ndo tutapata wakirishi wa watu halisi
Kumbe naongea na mtu asiyejielewa. comment yako inaonesha picha kuwa mama samia sio rais mwenye mamlaka kamili kwa kuwa "mawaziri ni wa jpm hawapo pale kwa ridhaa ya samia na wanafuata maelekezo ya jpm sio ya samia ". Kwa heri endelea na uzi wako.
 
Kwa mara ya kwanza watanzania wameonyesha upendo wa dhati kwa Raisi wetu Mama SSH, hata kwenye wizi hu wa kuongeza bei ya miamala na mafuta hawataki kumsema, wameamuwa kumbebesha waziri wa fedha Mwigulu Nchembe lawama hi, pamoja na Bunge la CCM ambao halikuchaguliwa na wananchi.

Bado Mama anaupiga mwingi kwa wote wapinzani na wana CCM, sisi tunaamini Mama hakupewa briefing ya kutosha kabla ya kusaini hilo ongezeko ambalo limewashida hatakulielezea, eti tonzo la kizalendo, hamna kitu kama hicho uzalendo ni hiari na kodi ni ya lazima wapi na wapi?

Suali kuu ni kwamba nani wa kulaumu? Katika kumtia dowa kama hili Mama? Na % kubwa hii kodi inaenda kuwa revised completely, kwasabu hata sifa nzuri za kodi haina (features of good tax)lazima iwe progressive, covinient to pay, Easy to hide, nk.
Mitano tena kwa mama
 
Back
Top Bottom