Oneni upuuzi wa Sugu

Oneni upuuzi wa Sugu

huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.

jibu zuri. Ila tungepata na ukweli toka upande wa pili tungeelewa
 
Sugu mkuu umechemka.Kubali umekosea mambo yendelee.Dharau mbaya ndugu
 

Huu ni umbeya tu. Unataka kumchafua kamanda sugu. Umeshindwa. Lete vielelezo vya ushahidi.

acha kelele wewe,kama unampenda xana sugu mwambie ajirekebshe na sio kupnga kila hoja inayoletwa dhd yake,waliopo mbeya wanajua nachozungumzia,nngekua nataka kumchafua,nisngeleta hii hoja hapa,
 
...."Until Further Notice"


tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.

vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!

inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..

inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..
 
Why should I not comment? "..Until Further Notice " has a lot of/and rich in meaning. That is my comments. Writing phrases and phrases with no meanings..........!!not me and you have to let your brain work extra...Yes go extra mile by thinking why "until further notice" The meaning of the context can be derived from far end of your upstairs IQ.
And if you are playing in Bronze medal of life, YOU ARE LOST. You have to have r.r

then u should not comment wait for the further notice..
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kama ni kweli alialikwa na akasema atakuja, aliwajibika kuomba udhuru na kutuma mwakilishi. Binafsi nimekutana na wabunge wengi kwenye maeneo ya starehe lakini Sugu huwa ananikera na wapambe wake. Ana wapambe vijana wasio wastaarabu na ambao hawezi kuwacontrol. I wish angekuwa na tabia za kiuongozi kidogo na akabakisha machachari stejini. Kale kamchezo ka wapambe kuhakikisha cd ya antivirus inapigwa kwa sauti ya kuumiza maskio wakati anaingia inakera, sie tumekuja kustarehe bila siasa. Ajirekebishe tu.
 
Huyu Sugu anasubiri muda wake arudi kwenye disco.
 
Ila nyie wapenzi wa CDM huku mkiangalia ndio mnaowapa matatizo viongozi wenu yaani mmekaa ndio mzee mpaka mnaboa aisee. Kwingineko mpige kimiya basi alafu mtoe ushauri. Duh mnatetea sana mpaka mnajipotezea hadhi jamani, tuweni GT, Sugu kakosea kama aliona haifai hiyo date si angewashauri waiamishe ili akawauzishe sura vijana wenzake?
 
Sugu ni mwana Hip Hop..hawezi acha asili yake.
2015 anarudi ktk asili yake..
Mvumilien bado kidogo.'!
 
Ila nyie wapenzi wa CDM huku mkiangalia ndio mnaowapa matatizo viongozi wenu yaani mmekaa ndio mzee mpaka mnaboa aisee. Kwingineko mpige kimiya basi alafu mtoe ushauri. Duh mnatetea sana mpaka mnajipotezea hadhi jamani, tuweni GT, Sugu kakosea kama aliona haifai hiyo date si angewashauri waiamishe ili akawauzishe sura vijana wenzake?

Usiumize kichwa wengi humu ni waajiliwa kabisa kwa kazi ya kuwatetea viongozi wa CDM. Nawajua kwa majina na ID vijana wa Arusha wanaolipwa kwa kazi ya kutetea CDM hapa, ID nyingine zinamilikiwa na chama na kila mfanyakazi pale Kinondoni ana password anaweza ku login na kuanza ku defend kila analoona linakwenda kinyume na matakwa ya maboss zao. Hawa sio watu ni mfumo uliowekwa kulinda maslahi ya maboss zao kwa hiyo usitegemee kama kuna kutumia akili hapo.
 
Wanamwita sugu!! Sugu!! Sugu!! .mnategemea nini??


Sent from my IPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom