Oneni upuuzi wa Sugu

Oneni upuuzi wa Sugu

Kama ni kweli basi alifanya kitendo cha kijinga !
 
Sugu kakosea kama aliona haifai hiyo date si angewashauri waiamishe ili akawauzishe sura vijana wenzake?
well, isingekuwa busara kuwashauri wabadili tarehe ili tu yeye ahudhurie siku atayotaka yeye, ingezidi kuchelewesha uzinduzi na ni kujikweza ambako hakusaidii kuwafanya wananchi wajisikie wanaweza kujifanyia kitu wenyewe.

Wajasiriamali walitakiwa watume mwaliko mapema zaidi ya December 28 ili kumruhusu Mbunge kupitia uhalali wa mradi, paperwork za usajili, migogoro yoyote ndani kwa ndani na usafi wa mradi wa jengo na chama kwa ujumla.
 
Ila nyie wapenzi wa CDM huku mkiangalia ndio mnaowapa matatizo viongozi wenu yaani mmekaa ndio mzee mpaka mnaboa aisee. Kwingineko mpige kimiya basi alafu mtoe ushauri. Duh mnatetea sana mpaka mnajipotezea hadhi jamani, tuweni GT, Sugu kakosea kama aliona haifai hiyo date si angewashauri waiamishe ili akawauzishe sura vijana wenzake?
Ni kweli kabisa kwenye zuri sifia na kwenye baya kosoa. Nataman sugu ajibu tuhuma hizi kabla upepo haujaanza kua mbaya!
 

  • Joseph Mbilinyi sio kweli kwamba nimekataa bali wamecheza mchezo mchafu na kunizunguka...ni janja ya magamba lakini imekula kwao still...
    26 minutes ago · Like · 1






  • Joseph Mbilinyi ..na kuhusu mimi kupoteza umaarufu hilo sahau kabisa kwa sasa,labda kama hukuwepo kwenye mkutano wetu wa kufunga mwaka pale sido ambapo ingekuwa rahisi kwako kupima hali ya siasa jimboni...kwa taarifa yako sisi ndo tunalinda maslahi ya hao bajaj na wao wenyewe wanajua hilo,lakini kwa sasa wacha wale tu hizo hela za mulugo na magamba wenzake...

    16 minutes ago · Like




 
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.

vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!

inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..

inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..

kama hizi habari ni kweli basi kafanya kosa kubwa.

Viongozi wa Chadema ni viongozi wa watu na kwa ajili hiyo hawapaswi kuwa na dharau kwa watu wa aina yoyote. Wanapaswa kuhudumia watu wote bila ubaguzi
 
sugu ulianza moto sasa jamaa anakumalizia hapo tu. Tatizo mkishaitwa mh. Mnavimba kichwa miswahili bwana sijui ikoje

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hapa suala ni kwamba sugu amekosea, kuna wapuuz hapa wanatetea kwakuwa tu nafsi zao zimetekwa na mapenz ya upofu kwa chama chao.
 
kama sijakuelewa vizuri;;event ilikua tarehe 1/1/ na barua ya mwaliko ilikuja tar 28/12 kwa hiyo kilikua na siku 3 za mbunge kujiandaa,haukutaja siku nyingine walioenda but na kisia ni ta 29/12 haukutaja pia mluge walimfata tarehe ngapi''''kushndwa kwangu kukuelewa kunanifanya niwe wa mwisho kukuamini
 
ya Mbeya tuwaachie waMbeya, nawashauri tu chadema wawe makini na lile jimbo wasikubali kulipoteza kwa namna yoyote.
 
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.

vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!

inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..

inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki.. Kija acha unaa, Sugu alikubali Mwaliko na akawaomba na kweli aliahidi tarehe moja,kinyume chake Katibu wa Waendesha Bajaji (Mwenyekiti wa vijana CCM - kata nimeisahau jina ) kinyume na maafikiano waliyofanya na Mmbunge,akatuma barua nyingine kwa Mulugo. Na hiyo siku unayosema Mmbunge alikuwa baa pia ni uongo mwingine pia. Nakufahamu kaka coz kabla haujaja hapa ulishalopoka shule ya msingi Mbata @ mechi ya juzi,kuwa utakuja kuharibu hapa........Unachokifanya ni ujinga HIVI VIJANA WENZIO WA CCM WALIKUCHAGUA KUJA KUMCHAFUA SUGU JF? Zungumza yale yapasayo kuzungumzwa hapa kwa minajili ya kumfunza mmbunge wako na sio upuuzi wako.
 
Kija acha unaa, Sugu alikubali Mwaliko na akawaomba na kweli aliahidi tarehe moja,kinyume chake Katibu wa Waendesha Bajaji (Mwenyekiti wa vijana CCM - kata nimeisahau jina ) kinyume na maafikiano waliyofanya na Mmbunge,akatuma barua nyingine kwa Mulugo. Na hiyo siku unayosema Mmbunge alikuwa baa pia ni uongo mwingine pia. Nakufahamu kaka coz kabla haujaja hapa ulishalopoka shule ya msingi Mbata @ mechi ya juzi,kuwa utakuja kuharibu hapa........Unachokifanya ni ujinga HIVI VIJANA WENZIO WA CCM WALIKUCHAGUA KUJA KUMCHAFUA SUGU JF? Zungumza yale yapasayo kuzungumzwa hapa kwa minajili ya kumfunza mmbunge wako na sio upuuzi wako.



namjua Sugu hawezi kuwapuuza watu wa haina hii..kama kufanya dharau basi sio kwa masela dizain hii...sasa hao vijana walimualika na Mlugo wa nini wakati kuna kulushiana maneno kulitokea kati yao ivi juzi??au mlitaka utokee mtiti wampe kesi Sugu??nilijua tu hii ni kazi ya magamba,ili kumchafua.
 
alitaka umaarufu keshaupata..kama ni kweli inasikitisha sana..........................malipo ni hapahapa.............
 
Kwa namna ninavyowajua vijana wanaompenda Sugu wasingekubaliana kumwita Mulugo baada ya Kamanda Sugu kuwa busy.Hao ni vijana wa magamba waliochini ya Chitambala anaetafuta namna ya kumchafua sugu.Msidanganywe kirahisi na simple propaganda za magamba.
 
naona mate yamekutoka mwanangu,we ndio faiza demu wa sugu nin.?

kumbe unamtaka na faiza ndiyo ana kuzibia si umuombe akuachie au siku moja kama siyo wiki akukune kuliko kuleta habari za kiduwanzi..
 
Nakumbuka miez iliyopita ,alileta tafrani kwenye kikao baada ya kumtusi Mkuu wa wilaya'Ur very Stupid'na alitoka nje ya kikao,(is that fare kumtusi mwenzako mbele ya wenzake,na familia yake nadhani walimwona Dng anatukanwa)kuwaacha viongozi na wengne wakiwa wanalumbana,Possible,ana ka dharau ka kiaina.Ukweli huwa haufichki.Mda ukifika kitafahamika tuu uckonde mleta mada.
 
Back
Top Bottom