Oneni upuuzi wa Sugu

Oneni upuuzi wa Sugu

hata cmpendi kabsa amim,kwa7bu ya skendo yake ya kutembea na mama na mtoto wake huku mbeya,lakn kwa alchofanya leo imenbd nmsfu..
Sasa wewe mbona umeleta jipya tena kukusu mulugo? Hebu fafanua kwanza hapa halafu ndo uendelee na Sugu.
 
huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.

Mkuu uliyoandika umeandika kiushabiki wa kichama kwa vile ni mmbunge toka chadema au kutoka moyoni? angekuwa ni mmbunge wa ccm au cuf nk ungeandika hivyo kweli, mi binafsi siamini. Mficha maradhi ....! kama ni kweli sugu amefanya hivyo mi binafsi naona kakosea na hakutumia busara, miaka 2 sio mingi!
 
Mkuu uliyoandikwa umeandika kiushabiki wa kichama kwa vile ni mmbunge toka chadema au kutoka moyoni? angekuwa ni mmbunge wa ccm au cuf nk ungeandika hivyo kweli, mi binafsi siamini. Mficha maradhi ....! kama ni kweli sugu amefanya hivyo mi binafsi naona kakosea na hakutumia busara, miaka 2 sio mingi!

tatzo la wamma CDM,hatutaki ukwel..
 
Sasa wewe mbona umeleta jipya tena kukusu mulugo? Hebu fafanua kwanza hapa halafu ndo uendelee na Sugu.

mkuu nfafanue nin zaid hapo kwan hauelew kisw.?
 
Usiumize kichwa wengi humu ni waajiliwa kabisa kwa kazi ya kuwatetea viongozi wa CDM. Nawajua kwa majina na ID vijana wa Arusha wanaolipwa kwa kazi ya kutetea CDM hapa, ID nyingine zinamilikiwa na chama na kila mfanyakazi pale Kinondoni ana password anaweza ku login na kuanza ku defend kila analoona linakwenda kinyume na matakwa ya maboss zao. Hawa sio watu ni mfumo uliowekwa kulinda maslahi ya maboss zao kwa hiyo usitegemee kama kuna kutumia akili hapo.

ndoo maana kuna wakati wanatetea hata vitu ndivo sivyo na wakikosa point ya kutetea wanakuogesha matusi ili usepe usiendelee kumwaga point,halafu ni walewale siku nenda rudi,hawazidi hata 30,lakini wakivamia thread utadhani Tanzania yote inaongea.
Good propaganda strategy.
 
Naona hukualikwa kwa Lowasa kula ubwabwa
 
kwanza hao bajaj hawakutakiwa wawepo mtaani, it is through semi-anarchy system ya Magamba, ndio ina-encourage upuzi wa bajaj/
 
ndoo maana kuna wakati wanatetea hata vitu ndivo sivyo na wakikosa point ya kutetea wanakuogesha matusi ili usepe usiendelee kumwaga point,halafu ni walewale siku nenda rudi,hawazidi hata 30,lakini wakivamia thread utadhani Tanzania yote inaongea.
Good propaganda strategy.

Kwa kweli ni mbinu nzuri sana kisiasa waliobuni wanastahili pongezi ila wasi wasi wangu ni heshima ya jukwaa sasa inawekwa rehani maana hakuna tena michango ya kujenga hoja bali kulazimisha hoja, matusi, kejeli, vijembe, na udaku. JF ya sasa si ile ya zamani( kwa sauti ya diamond)
 
mkuu nfafanue nin zaid hapo kwan hauelew kisw.?

Sasa unajiskia vip kuandika skendo? Au kwakuwa ID zetu zimefichika unaweza andika chochote? Iwe umbea, uwongo,unafki au majungu? Point yako unaegemea kumshambulia nan kati ya mulugo na sugu afta ku break hzo rumours kuhusu mh. Mulugo?
 
Thibitisha kwa barua iliyopelekwa kwa sugu ikimwalika na utuwekee respond ya ya Sugu ilikuwaje hata hivyo muda unadhani unatosha?uzi wenyewe nina mashaka ni kama Nape on duty vile
 
Tumjenge jamani huu ni wakati mgumu na lazima ccm tuwang'oe.Sasa inabidi kumfuata tena na kumshauri kuwa hivyo ulivyofanya sio vizuri.Halafu tusonge mbele .
 
huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.

Mkuu SUGU haukufanya vizuri katika hili kubali tu kuwa umekosea uende ukawaombe radhi vijana wale kwa kuwapa ahadi feki.

Back
Top Bottom