Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Labda Diary ilijaa
Uko sahihi kabisa. Tena inawezekana ni mr. Phillip Mulugo ndo amemtuma aje kumchafua kamanda sugu. Tupo hapa kuhakikisha Mr.Sugu hachafuliwi. Anzisheni sinema nyingine. Hii imefeli.Tutajuaje kuwa iliyo ya post yana ukweli ama umetumwa?
huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.
mwaka mpya ni siku ya kula bata na marafiki/ndugu si shughuli za kazi,mnemuita siku nyingine
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.
vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!
inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..
inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..
hata cmpendi kabsa amim,kwa7bu ya skendo yake ya kutembea na mama na mtoto wake huku mbeya,lakn kwa alchofanya leo imenbd nmsfu..
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.
vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!
inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..
inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..
ndiyo madhara ya kuwapa wahuni uongozi
kudharau watu walokupa kampani ni laana..
kwanza hao bajaj hawakutakiwa wawepo mtaani, it is through semi-anarchy system ya Magamba, ndio ina-encourage upuzi wa bajaj/
Usiumize kichwa wengi humu ni waajiliwa kabisa kwa kazi ya kuwatetea viongozi wa CDM. Nawajua kwa majina na ID vijana wa Arusha wanaolipwa kwa kazi ya kutetea CDM hapa, ID nyingine zinamilikiwa na chama na kila mfanyakazi pale Kinondoni ana password anaweza ku login na kuanza ku defend kila analoona linakwenda kinyume na matakwa ya maboss zao. Hawa sio watu ni mfumo uliowekwa kulinda maslahi ya maboss zao kwa hiyo usitegemee kama kuna kutumia akili hapo.