Oneni upuuzi wa Sugu

Oneni upuuzi wa Sugu

Nakumbuka miez iliyopita ,alileta tafrani kwenye kikao baada ya kumtusi Mkuu wa wilaya'Ur very Stupid'na alitoka nje ya kikao,(is that fare kumtusi mwenzako mbele ya wenzake,na familia yake nadhani walimwona Dng anatukanwa)kuwaacha viongozi na wengne wakiwa wanalumbana,Possible,ana ka dharau ka kiaina.Ukweli huwa haufichki.Mda ukifika kitafahamika tuu uckonde mleta mada.

Kwani Stupid maana yake ni nini?
 
Kama ni majungu mtoa mada kakosea jinsi ya kuwakilisha, hata mjumbe wa nyumba 10 asingekubali kufanya ujinga huo tar 28 kwa tar 1?
Tena mkamfuata ktk starehe zake, km umetumwa umekosea sana si akili yako hii.
 
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.

vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!

inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..

inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..

leta ushahidi hapa, onesha barua ya mualiko na sio kutuletea habari za magazeti ya shigongo,
 
...Najiuliza tu:

*Hawa vijana walisubiri kwa muda gani kwenye hiyo shughuli ao ndipo wakaona Mheshimiwa hatokei na kuamua kumfuata huko alikokuwa amechafua meza?

*Kama Bwana Sugu alikuwa amewaahidi kuwa angekuja kwenye shughuli yao saa 10 jioni madhalani, ina maana kuwa walisubiri hadi saa 10 yenyewe pengine mpaka na nusu ndipo wakajua kuwa mheshimiwa amewaacha kwenye mataa, iliwachukua muda gani tena kupata wazo la kumpata Mheshimiwa Mlugo, wamtafute aliko, wamualike na Yeye afike kwenye Shughuli husika KWA WAKATI MUAFAKA!?? Wakati Muafaka Upi tena wakati umetuaminisha hapa kuwa bwana Sugu hakufika kwatika Muda Unaotakiwa na ndio maana Vijana waliamua kumfuata huko aliko??

* Huyu Mheshimiwa Mlugo hana Programme zake binafsi na ana kazi ya kusubiri mialiko ya shughuli za Waheshimiwa wengine ambazo wameshindwa kuzihudhuria kwa sababu moja ama nyingine??

* Shughuli ya Bwana Sugu ya Kufungua Internet Cafe ya Msanii Izzo B JANA YAKE inahusikaje kwenye habari hii?

* Je yote haya yanahalalisha habari hii kupewa kichwa cha habari cha 'UPUUZI wa Sugu' ???

...Kama Nilivyosema, Najiuliza tu...!:confused2: 😱hwell:

Hii story ya kupikwa pikwa hiviiiiii, maana ninavyojua CCM jimbo Mbeya Mjini linawauma sana

Joseph Mbilinyi wrote:

TAARIFA: KUPITIA KATIBU WAO BWANA ENE,AWALI KABISA UMOJA WA BAJAJ MBEYA ULINIPA TAARIFA YA KUNITAKA NIWE MGENI RASMI KWENYE UZINDUZI RASMI WA OFISI YAO ILIYOPO KATA YA ILEMI-MBEYA MJINI...LAKINI BAADAYE WAKANIPOTEZEA NA KUMUALIKA WAZIRI KILAZA MULUGO ALIYEENDA KUIFUNGUA OFISI HIYO JANA AMBAPO INASEMEKANA NI BAADA YA YEYE MULUGO KUWARUBUNI KWA KUWAPA FEDHA(LAKI SITA ) NA KUWAAHIDI FEDHA ZAIDI KUTOKA KWA BOSI WAKE KIKWETE BAADHI YA VIONGOZI WA BAJAJ ILI WAMUALIKE YEYE BADALA YA MIMI,JUST TO GET AT ME POLITICALLY!HII NI UKIACHA FEDHA ALIZOTOA HADHARANI KWA OFISI HIYO,LAKINI HILI HAPA MBEYA HALITUSUMBUI KWANI VIJANA HALISI WA BAJAJ WANAJUA NI NANI ANAYEWAPIGANIA WABAKI BARABARANI KUTAFUTA RIZIKI KILA SIKU BILA YA KUBUGHUDHIWA,KWA MFANO NI MIMI MBUNGE WAO NILIWAPELEKA NA KUWAPIGANIA KWA RPC NIKIAMBATANA NA VIONGOZI WAO SITA AKIWEMO KATIBU WAO ENE NA PIA M/KITI WAO WAKATI WALIPOKUWA WANAKAMATWA OVYO NA KUPIGWA FAINI KUBWA KILA WALIPOINGIA BARABARA KUBWA ZA HAPA MJINI,KERO AMBAYO HAIPO TENA KWAO HIVI SASA...

N.B: NAMSHAURI MULUGO NA MAGAMBA WENZAKE KUWA KWA HAPA MBEYA MJINI WATAMALIZA TU FEDHA ZAO LAKINI HAWATAPATA KITU,KWANI MBEYA MJINI HAINUNULIKI KWA FEDHA UMMA ULISHAAMKA HAPA...NA PENGINE NI VEMA ANGEPELEKA HIYO HELA JIMBONI KWAKE SONGWE AMBAKO WALIMU WANA KILIO CHA UKOSEFU WA CHAKI INGESAIDIA WATU WAKE NA PENGINE INGEMSAIDIA NA YEYE KISIASA....

Nimewakilisha wee mpambe ulioleta uzi huu kipambe upoo badooo????
 
Dereva bajaj na izzo b wap na wap yan amwache izzo aende kwa akina kajamba nani ndugu vitu vingine haviitaji ufikiri wa chuo kikuu internet cafe ndo moto chini..!!!!
 
Jamani hawa ni wana mbeya kabisa wana haki ya kuwasilisha cho2te wanachoona hawajatendewa haki na mbunge wao, kwanini alikubali mwaliko ikiwa hana mda? kwani boda2 wake ni wa ccm? nakataa na kupinga hao wana haki ya kusema mbunge wao hawasikii mie cjui analinga au la? mie mwenyewe ni mwana mby aka green city japo sasa niko dar tena pand za uyole ndo maskani so hao hawaja2mwa na ccm. ni mtazamo wangu tuuuu.naachia line. 2015 tafuteni mbunge wa chadema msomi na mwenye elimu ya juu na timamu ili jiji letu la mbeya lisonge mbele na kuheshimika na viongozi wote. wanaotuzingua. ni hayo 2.green city stand up as permanent home for real i real mic it.
 
uzi unaonekana dhahili hauna mashiko kamili ya kurubun thinkerz. mlugo a.k.a one nineteen sixty 4 aliwezaje kufika kwa wakat while jamaa wakat huo walikua wanamsubil sugu? japo sugu nae anazingua kutotambua kuwa kauli yake ni kuu kwa jamii. amejib hip hop zaid. inamaana songwe ndo wanarubunika kiivo,? wakat anajua nn kilikua pale! na watu bado wanahitaji mabadiliko. ujumbe poa lakin onyesha hekima kidogo kulingana na nafasi yako. a k a forest zoo
 
alitaka umaarufu keshaupata..kama ni kweli inasikitisha sana..........................malipo ni hapahapa.............

wewe nawe utakuwa unabifu na Sugu yaani autake umaarufu leo wakati unakuwa ulishamjua kunamtu anaitwa Sugu na kuna kitu cha anamiaka chini ya kumi nane + deiwaka. Aisee ficha chuki zako basi kidogo mtu wake ariif
 
Uzii huu nilipousoma nilijiuliza maswali mawili ya harakaharaka.
1:Kwanini kama Sugu aligoma kwenda kuhudhuria aalikwe Mulugo?---inamaana Mulugo anaendeleza Bifu na Sugu.
2:Nilitegemea Mulugo kama yuko mbeya ,angekua Jimboni,then alipopewa mualiko ,aliweza vipi kuwahi kufika mby mjini kwa wakati, maana ni zaidi ya saa moja na nusu,kumbuka pia atakua aikuwa na ratiba zake.aliweza vipi kuji adjust mapema hivyo?
3; Kama Mulugo alikuwepo mby mjini, hawa watu waliweza vipi kumpata kwa haraka namna hiyo, na akajiadjust mapema hivyo?
5.kama Sugu alipewa mualiko ,ulikua officially au wa mdomo,kama ni wa mdomo then huoni kuna uwezekano Sugu alitegemea atumiwe ratiba ya hiyo sherehe.Kwani ninavyofahamu,Mualiko wa mdomo hutangulia ilikuweza kujua kama mtu atakua available then akikubali,unampelekea official letter.then kilichofanyika ni kumpa wa mdomo, halafu wa maandishi kupelekewa Mulugo?au Mulugo akapewahuo wa Mdomo kuonekana ni wa dharula ,huku Sugu akinyimwa taarifa sahihi za huo mualiko?

Kiufupi huu mchezo umechezwa na Mulugo kutaka kumuangusha Sugu,na kwa mtizamo wangu Mulugo ndio amepewa jukumu la kupambana na Sugu.Lakini kwa ushauri wangu Mulugo akae pembeni na hizi siasa za maji taka,ana mapungufu mengi sana ,ambayo akicheza hawezi rudi tena kwenye ulingo,Uwezo wake tunaufahamu sana,pia alisaidiwa sana na vyombo kufika hapo,ijapokua baada ya kufika hapo amejiona mjanja hata waliomsaidia kufika hapo alipo amewatosa kwa kujifanya yuko busy,sasa wanamsubiri 2015.
 
...Najiuliza tu:

*Hawa vijana walisubiri kwa muda gani kwenye hiyo shughuli ao ndipo wakaona Mheshimiwa hatokei na kuamua kumfuata huko alikokuwa amechafua meza?

*Kama Bwana Sugu alikuwa amewaahidi kuwa angekuja kwenye shughuli yao saa 10 jioni madhalani, ina maana kuwa walisubiri hadi saa 10 yenyewe pengine mpaka na nusu ndipo wakajua kuwa mheshimiwa amewaacha kwenye mataa, iliwachukua muda gani tena kupata wazo la kumpata Mheshimiwa Mlugo, wamtafute aliko, wamualike na Yeye afike kwenye Shughuli husika KWA WAKATI MUAFAKA!?? Wakati Muafaka Upi tena wakati umetuaminisha hapa kuwa bwana Sugu hakufika kwatika Muda Unaotakiwa na ndio maana Vijana waliamua kumfuata huko aliko??

* Huyu Mheshimiwa Mlugo hana Programme zake binafsi na ana kazi ya kusubiri mialiko ya shughuli za Waheshimiwa wengine ambazo wameshindwa kuzihudhuria kwa sababu moja ama nyingine??

* Shughuli ya Bwana Sugu ya Kufungua Internet Cafe ya Msanii Izzo B JANA YAKE inahusikaje kwenye habari hii?

* Je yote haya yanahalalisha habari hii kupewa kichwa cha habari cha 'UPUUZI wa Sugu' ???

...Kama Nilivyosema, Najiuliza tu...!:confused2: 😱hwell:

Wewe ni great thinker!jamaa akijibu hayo maswali naomba nipigwe ban.
 
Baada ya Amimu kuchanwa na sugu sasa ameanza kazi ya kumchafua kisiasa, Amimu dawa ni kulikana jina lako feki la philipo mulugo na kurudia lako la mwanzo.......
 
...Najiuliza tu:

*Hawa vijana walisubiri kwa muda gani kwenye hiyo shughuli ao ndipo wakaona Mheshimiwa hatokei na kuamua kumfuata huko alikokuwa amechafua meza?

*Kama Bwana Sugu alikuwa amewaahidi kuwa angekuja kwenye shughuli yao saa 10 jioni madhalani, ina maana kuwa walisubiri hadi saa 10 yenyewe pengine mpaka na nusu ndipo wakajua kuwa mheshimiwa amewaacha kwenye mataa, iliwachukua muda gani tena kupata wazo la kumpata Mheshimiwa Mlugo, wamtafute aliko, wamualike na Yeye afike kwenye Shughuli husika KWA WAKATI MUAFAKA!?? Wakati Muafaka Upi tena wakati umetuaminisha hapa kuwa bwana Sugu hakufika kwatika Muda Unaotakiwa na ndio maana Vijana waliamua kumfuata huko aliko??

* Huyu Mheshimiwa Mlugo hana Programme zake binafsi na ana kazi ya kusubiri mialiko ya shughuli za Waheshimiwa wengine ambazo wameshindwa kuzihudhuria kwa sababu moja ama nyingine??

* Shughuli ya Bwana Sugu ya Kufungua Internet Cafe ya Msanii Izzo B JANA YAKE inahusikaje kwenye habari hii?

* Je yote haya yanahalalisha habari hii kupewa kichwa cha habari cha 'UPUUZI wa Sugu' ???

...Kama Nilivyosema, Najiuliza tu...!:confused2: 😱hwell:

Kazi ya Mwanasheria na Waziri msomi fake. Katibu wa Madereva Bajaji njaa itamfanya vibaya sana. Mleta mada tuonane tena leo viwanja vya Shule ya msingi Mbata kuna mechi kali sana pale.
 
Back
Top Bottom