Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
kwani we mke wako humu ndani ni nani?
Mi sina bana .....!!!!!!!!
kwani we mke wako humu ndani ni nani?
Shetani alishashindwa kabisa!!
anayaogopa sana mapenzi yetu
Mengi hayaelezeki hapa aisee he is wonderfull an honest guy i hv ever met mungu atusaidie kwakweli
Yallaaaaah umeniumiza na maneno matamu haya asante dear
Mi sina bana .....!!!!!!!!
Yes Honey!
Happy Anniversary my darling love...
![]()
CC: Baba V sungura1980 Filipo measkron watu8 MMAHE Sizinga farkhina Mr Rocky Dena Amsi marejesho 'Valentina' KOKUTONA Arushaone Lady doctor Eiyer The secretary Ablessed Fixed Point BAK EMT Mwanyasi Erickb52 Chocs mwallu Kaizer Mentor DEMBA Asprin THE BIG SHOW snowhite
Afazali aisee nipumue mieeee. Hongereni kiwatengu na shansarie kwa upendo wenu. One year si mchezo.Sasa ya nini kuwaacha kina 'Valentina' kuzagaa wakiwa single!
hivi bandiko la amu hujaliona?
chukua mmoja aisee muanze kupendana
Oooooh... How sweet, i've been working so hard...
I guess smth is coming up...
Inabidi mtuweke wazi sasa wapendwa..
what is going on?
hebu na wewe weka mambo sawa, tusiojua kitu tujue ati
Eli79 u fail to wait until tembosa come back?
Aisee hadi rahaaaa....... Hongereni jamani..... Na Mungu awaepushe na vikwazo vya kila aina na awaweke pamoja daima.