One year of love and happiness

One year of love and happiness

I love you darling, nakumbuka ulivyokuwa unazingua ujue, au ndiyo ulikuwa unapima!!

unajali sana, unayajua mapenzi, unajua kupika! we ni mtamu kila sehemu.love you sana darling

i-feel-so-lucky-anniversary-quote.jpg

Kudadadeki....!!!!!!!!!!!!
Mukulu umempa nini huyo mtoto????
 
Karucee umeona malavidavi hayaaaaaaaaaaaaaaa???????????????
 
Last edited by a moderator:
Kakupa nini????....lolzz!!!!!!

ni wivu ama?
afu kuna sehemu jana nimeona ume mdescribe my wife wrong..

ngoja nikujibie hapa hapa.
wife wangu anapenda kumix old and new!
always she create a very nice styles..
si wa mapenzi ya zamani na si wa mapenzi ya kisasa.

mapenzi ya kisasa yamejaa sana vitu fake.
hadi fake orgasm!!

my wife is of kind ya kipekee.
nakula raha za kila aina!

mapenzi yangekuwa sukari, ningekuambia ulambe kidogo.
 
Yallaaaaah umeniumiza na maneno matamu haya asante dear
 
Back
Top Bottom