kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,379
natisha hivi hivi mkuu
hakuna cha upori hapo wala nini
miss chagga anacheleweshwa na nini? hebu fanyeni mambo bana
Last edited by a moderator:
natisha hivi hivi mkuu
hakuna cha upori hapo wala nini
ha ha ha ha jamani ni nini kazi ? hatna mshahara wa kukulipa
miss chagga anacheleweshwa na nini? hebu fanyeni mambo bana
miss chagga anacheleweshwa na nini? hebu fanyeni mambo bana
shuka verse za kichaga huyo miss atakuelewa tu
ha ha ha ha jamani ni nini kazi ? hatna mshahara wa kukulipa
what is going on?
sihitaji mshahara hata penyi..huwa napenda sana watu wawe kama mimi, wapendane! hayo ndiyo maisha
mmmh kazi ipo
Asante dada yangu
sio ndogo ati nimeongea hadi kichaga
mnaringiana nini?
au we domo zege nini..
ngoja nikuitie watu wakufunze
Erickb52 njoo umfundishe huyu jamaa jinsi yakumtaka mwanamke
labda uongee kifaransa watakuelewa kichagga kimekuwa kigumu kwao kuelewa
upendo marara zote unaangalia moyo na siyo watu wanataka nini
hata hapa pia wameshindwa kukuelewa basi tuwaache