Hata mi nimewashtukia hakuna anayejaribu kurusha ndoano wanategeana
usiku mwema kwako
Poa hny za mida miss u
asante na wewe pia
Hata mi nimewashtukia hakuna anayejaribu kurusha ndoano wanategeana
Haya kaka mdogo nawatakia kila la kheri mwisho mtufikie wakongwe si unajua sasa tunazeeka na huu mwaka mpya ndio kabisa unaongeza number kiasi kwamba kwenye bd huwezi weka mishumaaa manake haiwezi kutosha. Mimi nawaombeeni mzidi kukua ktk pendo la kweli. Lkn muwe waangalifu maana yule muovu hapendi watu wnaopendana
mmh jamani aya !!!!!
Huyo muovu anatuogopa sana akituona tunavopendana anakimbia hapa asogei kwakweli
Ukipata muda ulizia tena ile ishu basi, napata shida sana kwenye kupanga ratiba yangu! kabla sijajua hatma ya ile kitu
unakubaliana na hiyo kauli ya wife?
nini mnachochelewesha?
mtulize mwenzio! kapandwa na hasira baada yakuambiwa asaidiwe
wajifunze kupendana! hny mi nakupenda..
watu wengine mnapenda sana sifa