Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
Am watching her ......!!!!!!!!!!
Aka mie. Kondoo wako huwapendi eeeh?Wewe hujui maisha ya u single yamenishindaaaaaaaa..???????
Hutaki kuwa mama mchungaji...??
Aka mie. Kondoo wako huwapendi eeeh?
Mkuu hujui kuwa mwenye "kisu" kikali ndio atakula nyama?
Nadhani unakijua "kisu" ni nini....lol!!!!!!!
wewe na umaarufu wako mkuu lazma umdake mmoja kirahisi.
amu anataka kuwa na mtu maarufu, u deserve hiyo nafasi mkuu Tuko na Jerrymsigwa walishindwa kabisa.😛ray:😛ray:
Ila karibu maana raha ya kumpata mwenza, umpate out of competition. ..
Am watching her ......!!!!!!!!!!
Utaweza wapi?
Ila karibu maana raha ya kumpata mwenza, umpate out of competition. ..
How is the other Karucee best? Salamu ulipeleka?
Utachoka tu. Nitachekajeeeeeee?
How is the other Karucee best? Salamu ulipeleka?
Mkuu kuwa makini ....
Shauri yako!!!!