miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
sihitaji mshahara hata penyi..huwa napenda sana watu wawe kama mimi, wapendane! hayo ndiyo maisha
asante kiwatengu basi mwache atafakari mwenyewe
sihitaji mshahara hata penyi..huwa napenda sana watu wawe kama mimi, wapendane! hayo ndiyo maisha
hongereni sana siku ya kuhalalisha rasmi usinisahau
nimetoa point, si ndiyo?
wewe kwa nini unamfanyia hivyo kwani kakwambia kashindwa mbona hivi
Hachapwi mtu hapa
ok lakini haraka haraka ndiyo mwendo
Hahahahahahahaha si unajua ile hadithi ya muazima jamvi. Kenda kwa nia ya kuazima jamvi alipofika kaanza kupiga storiiiiii mpaka akaja mtu mwingine kumbe nae alikua na nia ya kuazima jamvi . Mtu huyo hakuchelewa bali alipofika tu akasalimia kisha akaeleza haja iliyompeleka pale . Akapewa sasa na yule wa mwanzo akasema namimi nilikuja kwa ajili ya jamvi akaambiwa mbona hukusema. Ikabakia masikitiko but i'm just kidding usihofu wanasema subira yavuta kheri.kwanza! asante kwa baraka zako..
I love her kwa kweli.
Hizo taratibu nyingine ni swala la time tu!
We just waiting for our time to come.
Hahahahahahahaha si unajua ile hadithi ya muazima jamvi. Kenda kwa nia ya kuazima jamvi alipofika kaanza kupiga storiiiiii mpaka akaja mtu mwingine kumbe nae alikua na nia ya kuazima jamvi . Mtu huyo hakuchelewa bali alipofika tu akasalimia kisha akaeleza haja iliyompeleka pale . Akapewa sasa na yule wa mwanzo akasema namimi nilikuja kwa ajili ya jamvi akaambiwa mbona hukusema. Ikabakia masikitiko but i'm just kidding usihofu wanasema subira yavuta kheri.
Haya kaka mdogo nawatakia kila la kheri mwisho mtufikie wakongwe si unajua sasa tunazeeka na huu mwaka mpya ndio kabisa unaongeza number kiasi kwamba kwenye bd huwezi weka mishumaaa manake haiwezi kutosha. Mimi nawaombeeni mzidi kukua ktk pendo la kweli. Lkn muwe waangalifu maana yule muovu hapendi watu wnaopendanaNaijua sana hiyo story!
my wife wangu mipaka yake ninayo mimi so mwenye nia lazma apitie kwangu kwanza
mimi hapa naonekana kama nimeshindwa nini kwani?
ok lakini haraka haraka ndiyo mwendo
eti kuniaitongoza hili si nzuri lakini nimesema samahani kama litakukwaza
idiotsss all of them, who want me to that
kuwa mpole ndugu mapenzi yanaraha yake 🙂
hapana simba mwenda pole ndo mla nyama