Zitto tangu uchaguzi mkuu wa 2010 uuishe kwa kweli alikuwa adimu sana katika mikutano ya chama, sijui hili atasemaje tangu m4c inaanza kwa kweli hakushiriki vya kutosha tena alipaswa kufanya kazi kubwa sana ya kukinadi chama kuliko hata Dr. Slaa, chama kilienda ;Lindi na Mtwara mapaka mauti yanamkuta mzee wa chadema yule wa shinyanga/mwanza zitto hakuwahi onekanaa huko kwa zaidi ya wiki 3, chama kikaenda morogoro mpaka muuza magazeti anauwa na polisi, zitto hayupo, chama kikaenda iringa mpaka mwangosi anauwa zitto hayupo, chama kikaenda arusha mpaka bomu linalipuka zitto hayupo hizo harakati zoote?? sasa utasema hizi zote ni coincidence kweli???
Lakini pia zikaja shutuma za yeye kuonekana kutumika na ccm na hata zikahususanishwa na kauli za wassira kuwa cdm itakuwa 2012, na kwa kweli tangu chama kimsimamishe zitto uanaachama 2013 mwishoni wassira hajasikika tena akisema ile kauli je hii nayo ni coincidence ya namana gani, zipo taarifa za kutumika 2010 kutoa siri za chama kwa ccm mpaka mwanaharisi likaanika na ushahidi wa mawasiliano ,kabla yake ilikuwa kila safari ya nje jk lazima mbebe zitto waende naye, asi if upinzania koote zito ndio kichwa, sasa sijui hata darasani alikuwa anapataga single digit au vipi...
...Kilichoudhi zaidi wakati wananchi wako busy kuidiscuss Elimu wanayopewa na M4C yeye ili kuwachanganya akaitisha waandishi wa habari na kuwatangazia "...nautaka uraisi kupitia CHADEMA" Bila shaka aliagizwa hivo na akina Wasira na Zoka ili kudivert attension ya raia kwenye elimu inayotolewa na M4C.
Swali: Lengo lako la kugombea urais bado lipo au ndo biashara na waliokutuma ilishakamilika?