One night stand ...

ilishanikuta moja ila ni kwa mtu ambaye tulikuwa tumefahamiana tayari
 
We unaamini kuna kitu hakiwezekani hapa duniani? Ukikitana na mtu akakupa utundu wa sex ambao mmewe mkewe hataki kuupokea utaamini one nite stand inaweza kuchenji koz of yua life, trasti mii
 
aaaahhhh as long as bado tuko hai anything can happen...never say never....

Na sababu hiyo basi ni kuepuka mazingira hatarishi.... maana hata wachungaji wanateleza...


We unaamini kuna kitu hakiwezekani hapa duniani? Ukikitana na mtu akakupa utundu wa sex ambao mmewe mkewe hataki kuupokea utaamini one nite stand inaweza kuchenji koz of yua life, trasti mii
 

we mwana weee!
ahahhahahhahahahahaha usione ukadhani aseeh!
ndo mana huwa mnawaza wanandoa hawwna furaha enh!
better uingie ujue!
show zote!i mean zooooote mnazoamiani ni free styles sijui zinapigwa fresh tu!
msiwaze kabisa sababu zote za wanandoa kuchepuka ni kukosa freestyles tu!
kama kwa hiyo case ya Eiyer kimsingi inaanzia ndani ya mhusika!
hakufanya hiyo ngono kwa kuwa mumewe yuko chini ya kiwango!
ndo mana hakuhitaji mawasiliano zaid!
so wud be the case kama angehitaji wajuane zaid!
wakati mwingine ni ubazaaazi na umaamazi tu!
usiwachukulie watu poa dogo!
OLESAIDIMU mbn hujaniita blaza?
 
Last edited by a moderator:

Aisee....!!
 

Hahahahaaaa ......lol!!
 
hii imekaa kidot com zaid, sie wenye kufundwa tukafundika ni ngumu sn kufanya hayo makitu
 

aaaanh my dada snowhite basi tu undugu ila nina hasira na wewe kama nile kiwembe hivi!!!!
Tatizo ni uchaguzi wa partners ndio watu wanateseka huko ndani, mke uchaguliwe na mama "acrobats" mpaka mfundishane leooo???!!!
Ukimkurupusha bazazi mwenzio huko mkaoana aaaanh show kama kawa watu wanashangaa magodoro mapya kila baada ya muda kulikoni kumbe "men at work"!!!!

One night stand bhana ni kama sumu tu usionje kwa kulamba waweza kufa,au ukawahi maziwa au ukapigia u-turn mochuari!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unafurahiaje game na MTU huna hisia nae au stranger kuna watu wana moyo .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…