On STAR TV: Ipi misingi ya Amani? Sehemu ya Pili

mods angalieni lugha za matusi zinazotumiwa na huyu mtu hapa juu.inaonekana anatumia kichwa kufugia nywele badala ya kufikiri
Hivi ukiuliza swala la kipuuzi ulitaka usifiwe? Kama ni hivyo - Let me put it this way, " you are very intelligent gentleman, next time don't feel ashamed to ask silly questions as they help you keep your intelligence fit!"
 
Kizuri hujisemea, LISU ameonyesha kuwa yeye ni juu zaid. He is knowledgeable and not informed (you can distinguish the two). Nape alitoa falsafa za Mahatma Gandhi juu ya kudai haki kwa amani! Then came LISU on Mahatma Gandhi's philosophy of Mass resistance by peaceful means. Amelezea historical antecedents za nchi yetu kuwa sheria zinazotumika sasa zilitumika na wakoloni kuikandamiza TANU, kitu ambacho CCM inakifanya sasa hivi kwa opposition parties kwa sheria hizo hizo. You can clearly see the wide gap of knowledge/intellect among the three ! Very vivid!!!!!

mbona unajikanganya mkuu?lisu is knowledgeable and not informed huku unamsifia unamkejeli au uko serious.au hujui unachokizungumza
 
Hivi ukiuliza swala la kipuuzi ulitaka usifiwe? Kama ni hivyo - Let me put it this way, " you are very intelligent gentleman, next time don't feel ashamed to ask silly questions as they help you keep your intelligence fit!"

ok,nawe jitahidi kutumia kichwa kufikiri badala ya kufuga tu nywele mkuu.u will be useful ktk familia yako na ktk jamii
 
ok,nawe jitahidi kutumia kichwa kufikiri badala ya kufuga tu nywele mkuu.u will be useful ktk familia yako na ktk jamii
mohamed, bahati mbaya sana aliye utumia huu usemi bungeni kwa nia ya kumdharirisha mh. Tundu Lisu, alikuja kujiona kuwa kumbe yeye (Werema) ndie aliyekuwa anatumia kichwa kufugia nywele! sasa wewe unapouliza maswali ya kipumbavu humu jamvini ukiwa na nia ya kipumbavu ya kuwatetea watawala wanapofanya vitu vya hovyo kama kuua watu wasio na hatia, unatumia bichwa lako lililojaa uji badala ya ubongo kufanyia lipi?
 
Mwambie Nape ajue kwamba kuna list ya vigogo wenye hela huko Uswisi na hao ndio wenye ama maamuzi ama ushawishi na vyombo vyetu vya dola, hivyo wanaogopa wakiachia madaraka kwa watu wengine haswa upinzani ni lazima wafilisiwe na kupelekwa jela. Sasa wanachofanya ni kuhakikisha amani inatoweka ili madhambi yao yasijulikane. Lakini tunawaambia kwamba nchi wataachia na kufilisiwa watafilisiwa na jela wataiona. Wakitaka waache kuingilia mchakato wa katiba na mpya na waombe muafaka wa kitaifa kwani sisi wote ni binadamu na tunakosea tutawasamehe na kuijenga nchi yetu wao wakiwa pembeni.
 
wewe umesema not informed,ulimaanisha nini?

He is not informed but knowledgeable in that particular field of today's debate! Field zingine anaweza kuwa informed bila kuwa knowledgeable! Distinction between the two: Watu wa vijijini ambao hawakwenda shule (formal schooling) wanafahamu mengi kuhusu dunia hii, say biology ya mwanadamu. Mfano, wanajua kuwa mwanga unahitajika ili mtu aweze kuona, lakini hawawezi kukwambia the scientific reason why light is essential for vision. Wanajua kuwa mtoto akizaliwa hukua, hawawezi kukueleza kukua kuna kuja vipi ( meiosis, mitosis= cell division etc, etc, etc). Tundu Lisu has a high reasoning power! Anajua sababu za matokeo tunayoyaona sasa na huko nyuma-knowledgeable!
 
Lissu,kwanini kila wanapofanya mkutano cdm kunatokea vurugu na mauaji?
Wacha propaganda za kijinga wewe Mohamed. Kama Chadema wangekuwa wamehusika wangeshatikiwa mahakamani. Lakini ni polisi kwa amri ya CCM ndio wanaleta vurugu na mauaji ili kuusadikisha umma kwamba ni Chadema. Sasa kwa taarifa yako watu siku hizi wameshtukia maana chadema wanajieleza vizuri sana japo wananyimwa muda wa hewani haswa na TBC kwa ajli ya kutoa ufafanuzi. Ila jitahidi kukaa na wananchi wa kawaida ndio utajua kwamba watu wanajua mbumba na mchele.
 
Mojawapo ya mambo yanayotutesa sana ni kushindwa kubadirisha huu mfumo wa kikomunisti wakati tumechukua siasa za kidemokrasia. Mfumo wa kikomunisti tuliourithi toka enzi za chama kimoja, yaani mfumo wa chama kushika hatamu za uongozi, umehakikisha kuwa siku zote chama tawala ni sehemu ya utawala. Hii maana yake inakuwa vigumu sana kutenganisha majukumu ya chama na majukumu ya utawala au serikali. Kwenye ukomunisti sehemu zote ambazo tumeuona chama ni sehemu ya Dola. Na Tanzania hali haiko tofauti. CCM ni sehemu ya Dola kwa maana kuwa mfumo mzima wa Dola umedhibitiwa na chama tawala. Sasa hapa kunakuwa na mkanganyiko kwa watendaji wa Dola kushindwa kutofautisha kati ya kazi za Chama tawala na kazi zao za kidola kwani viongozi wa chama ndo watendaji wakuu wa serikali.

Katika mfumo kama huu ni vigumu kuendesha siasa za kidemokrasia bila kuvunja amani na kuleta vurugu. Suluhu ya hili ni kutenganisha vyama na serikali, kuwe na "kuta za kichina - Chinese walls" kati ya chama na serikali. Njia moja ya kujenga hizi kuta za kichina ni kuhakikisha kuwa chama kinachochukua madaraka kinatoa viongozi. Lakini viongozi wale wakishaingia serikalini waachie madaraka yote katika vyama vyao. Fikiria kwa mfano, ikiwa Slaa angeshinda urais 2010 halafu akaendelea kuwa rais na huku ni katibu mkuu wa Chadema, hivi utawezaje kumzuia kuchanganya kazi za chama na kazi za serikali?? Hicho ndo kinachotokea kwa Kikwete (mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi). Ndo maana ni vigumu kujua kama Nape ni msemaji wa chama au wa serikali!

Huu mchanyato wa CCM kuwa sehemu ya utawala ni mchanyato wa kikomunisti na haulingani na mfumo wa siasa za kidemokrasia tunazojaribu kuzijenga. Matokeo yake itakuwa tu ni uvunjifu wa amani. Kuilinda amani katika mfumo wa kidemokrasia, ni lazima kuweka mipaka wazi kati ya utawala na vyama vya siasa. Hakuwezi kuwa na ushindani wa haki pale ambapo chama kimoja ni sehemu ya dola. Kukosekana kwa ushindani wa haki ndo kunakochochea mitafaruku na vurugu zinazosababisha uvunjifu wa amani.
 
Napendekeza kipindi kijacho aweko kikwete, slaa na Lipumba kwenye kujadili nada Kama izo kwani nape ni mwepesi sana wa Hoja nzito hususani kwenye mstakabali wa taifa hili star tv badilisheni formula
 
umeelewa vizuri tu alichomaanisha Lisu, alifafanua palepale....usipotoshe, utahukumiwa siku ya mwisho. tubadilike...ccm wametutesa mno, na
mateso haya ya wanyonge hayataisha hivi hivi

mimi ninachopinga ni huyo jamaa anayeweka maneno (ambayo lissu hakuyasema) mdomoni mwa lissu.
 
Mkuu Yahya,

Nape atueleze; kauli ya Mwigulu kuwa Polisi wameapa na kuahidi kuilinda CCM mpaka kufa haiashirii kuwa Polisi wanafanya kazi kwa mashinikizo ya CCM?

Rejea https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-mbele-ya-chama-ccm-kukilinda-mpaka-kufa.html
Huyu Mwigulu tunamchekea na upuuzi wake na kauli zake za kichochezi atakuja kutuharibia hali ya hewa hapa nchini jamani. Watu Kama hawa ni Cancer katika jamii, Inabidi ipatiwe chemotherapy mapema ili isisambae na kuwa fatal.
Mwigulu ni janga linaloweza kutuletea madhara makubwa sana Watanzania hapo mbeleni.
 
He is not informed but knowledgeable in that particular field of today's debate! Field zingine anaweza kuwa informed bila kuwa knowledgeable! Distinction between the two: Watu wa vijijini ambao hawakwenda shule (formal schooling) wanafahamu mengi kuhusu dunia hii, say biology ya mwanadamu. Mfano, wanajua kuwa mwanga unahitajika ili mtu aweze kuona, lakini hawawezi kukwambia the scientific reason why light is essential for vision. Wanajua kuwa mtoto akizaliwa hukua, hawawezi kukueleza kukua kuna kuja vipi ( meiosis, mitosis= cell division etc, etc, etc). Tundu Lisu has a high reasoning power! Anajua sababu za matokeo tunayoyaona sasa na huko nyuma-knowledgeable!
Mkuu CHUAKACHALA, unapoteza muda kulielimisha jitu ambalo uwezo wake wakuelewa ni mdogo sana! hilo jamaa inapokuja swala la Nape na CCM yao huwa halitaki kuelewa chochote 'against' linaweza hata kubisha jina lake!
 
Mkuu CHUAKACHALA, unapoteza muda kulielimisha jitu ambalo uwezo wake wakuelewa ni mdogo sana! hilo jamaa inapokuja swala la Nape na CCM yao huwa halitaki kuelewa chochote 'against' linaweza hata kubisha jina lake!

Kweli, maana nilihisi kuwa huyu mtu hakubali hard facts! LISU alikuwa juu sana katika reasoning kulinganisha na wenzake kama ulisikiliza mjadala. Unaona kabisa kuwa alikuwa anaongelea vitu alivyovifanyia utafiti wa kutosha na kupata undisputable facts!
 
I cant believe this Gov., yani yule mtuhumiwa wa mauaji ya mwandishi anapelekwa mahakama UNDER THE SECURITY OF HIS FELLOW POLICE, HIS COLLEGUES, HIS BUDDIES, HIS FRIENDS, PEOPLE HE KNOWS VERY WELL NDO WANAMLINDA.
MXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX!, ****** MATUPU YANAENDELEA IN THIS GOVERNMENT!, UOZO MTUPUUUUUUU!

WE DIFINATELY NEED SOME MAJOR CHANGES!
 
Back
Top Bottom