On my way to Dodoma...!!!

On my way to Dodoma...!!!

Soma novo man, umekaa siti moja na nani!?

mkuu nimekaa na ustaadh mmoja picha linaanza ametia breach ndevu zake, nimemkubali maana ye anatia swala hadi ndani ya gari fresh kabisa!
 
Karibu sana Dodoma.. Uje tukuandalie juice ya ubuyu na kuku wa kienyeji
 
Karibu sana Dodoma.. Uje tukuandalie juice ya ubuyu na kuku wa kienyeji

Nashkru sana mkuu, naona wenyeji wangu mu wakarimu sana. Da farkhina huu mwili si ndo utablast kabisa kwa mangonjori ntakayoyakuta dom?
 
Last edited by a moderator:
Nashkru sana mkuu, naona wenyeji wangu mu wakarimu sana. Da farkhina huu mwili si ndo utablast kabisa kwa mangonjori ntakayoyakuta dom?

Kweli itabidi unichukue na mie nkakusaidie kula😉😉😉😉😉😉
 
Last edited by a moderator:
Safari njema. Salimia wana jf wa dom. Waambie Mamndenyi anawapa hi sana.
 
Last edited by a moderator:
Nimefika wakuu, salama salmini. Niko maeneo ya airport huku!
 
Nenda pale mbele ya Bunge kisha upige picha ili tuamini kama kweli uko Dom....
 
Back
Top Bottom