On my way to Dodoma...!!!

Salaam wakuu,
Niko ndani ya shabiby line hapa ubungo ready for departure kuelekea Dom kidogo. Nimepata na vinovo viwili vipya hapa Dedicated Man na The One From The Other, ni burudani tu wakuu. Baadae, niombeeni nisafiri salama!

Wakuu sijajua huu mtaa unaitwaje kwa wenyeji wa Dom ila npo opposite na hapa Jacana Bar kuna nyumba flani za tofali za kuchoma wakuu ndio nimefikia!
 
atug mwenyeji dom etii? basi umhost mgeni, na usisahau kupeleka mnadani kula nyama

Hahaaa DEMBA yaa m ni mwenyej Dom huu ni mwaka wangu wa tatu. Kwa bahat mbaya nipo nje ya Dom
 
Last edited by a moderator:
Wakuu sijajua huu mtaa unaitwaje kwa wenyeji wa Dom ila npo opposite na hapa Jacana Bar kuna nyumba flani za tofali za kuchoma wakuu ndio nimefikia!

Umefanikiwa kupata mtoto wa kigogo japo wa kampani...!? ila kipindi hiki waheshimiwa watakuwa wamejimilikisha balaa..
 
Back
Top Bottom