ON AIR show kubwa kuliko na BEIRA BABY BOY SHOW NIGGA

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Husika na kichwa cha habar hapo juu


Ni ijumaa nyingine tena, ijumaa ya upendo na furaha tunakutana kwenye show la kibubwa show la kibabe na beira baby boy nigga


Show itajumuisha mastory yote ya kitaifa na kimataifa ya siasa, michezo na habar za mastaa wa mbele na kibongo bongo

KELM-News-660x400.jpeg



Mbali na show tutakuwa na top ten ya ngoma kali za week pia tutakuwa na mpambano wa wasanii na mahost wa radio na tv hapo utaweza kupiga kura yako na kutwambia nan mkali kati ya mwenzie au wenzie


Tukianza na siasa tunaanzia hapa hapa home nyerere land ambapo hali ya shujaa wetu jembe letu tundu lissu ikiwa inaendelea vizur huko mjin nairob, vile vile tumeweza kuona na kusikia selikal ikisema iko tayar kumpeleka tundulisu popote pale dunian endapo kama watapata kibal cha madaktari na familia ya tundulisu hayo yalisemwa jana na wazir ya afya mh ummy mwalimu


Tukiachana na hiyo story nyingine ni ziara ya mheshimiwa rais magufur huko arusha ambapo juz aliamulisha kujengwa ukuta kuzunguka mgod wa mereran wa madin ya tanzanite huko arusha na jana agizo hilo tiar limeanza kutekelezwa na jeshi la wananch wa tanzania marufu kama jw ambapo jana hiyo hiyo meja general aliweza kufika arusha na kukagua sehemu ambapo ukuta huo utajengwa baada ya kutumwa na mkuu wa majeshi general mabeyo
pic%2Bmagufuli-zuzinduzi.jpeg
index.jpeg


Tukiachana na siasa kimataifa kwa sasa kitisho kikubwa na north korea bwana mdogo kim anaendelea kila kukicha kutest nuclear bomb, licha ya vikwazo lukik bwana mdogo ni ngangar kinoma na jana katoa kaul tata alipodai kaul anazozitoa bwana trump anazifananisha na mbwa anayebweka huku akiwa hana meno wala makali yoyote yale


Kumbuka north korea ina vikwazo ambavyo imewekewa kimataifa kwahiyo imezuiwa kufanya biashara nje ya mipaka yake lakin kwa tarifa za chin chin kuna nchi zimetuhumiwa kufanya biashara na korea inch hizo ikiweno tanzania ambayo imetuhumiwa kununua ndege za kivita japo wazir wa tanzania amekanusha vikal na kudai hawana uhusiano wowote ule na korea

tapatalk_1489775445171.jpeg


Katika michezo ligi kuu tanzania bara bado inatimua vumbi vibaya sana ambapo jana wekundu wa msimbaz waliweza kukipiga na mbao fc ya huko jijini mwanza na matokea kuwa 2-2 kwa sasa mtibwa sugar yuko kilelen akifatiwa na wekundu wa pale kariakoo

Michezo kimataifa week ijayo tutachambua vizur lakin kama una matokeo kimataifa unaweza kuweka hapa


Twende mbele tucheki mastory ya mastaa

Jana yule dada aliyepigwa ngumi chris brown kalipwa hela ya kutosha kama dola elf sabin hiyo ni baada ya kufungua kesi ya madai pale alipo pigwa ngumi na chris lakin chris baada ya kuulizwa kwanini alimupiga ngumi dada huyo jamaa alijibu ni kwakuwa dada huyo hana hadh wala uzur wa kuweza kumpiga picha wala kuingia chumban kwake ndo maa alimpiga
chris-brown-630.jpeg
huyo ni chris
Liziane-Gutierrez-in-Tight-Mini-Dress-06-662x923.jpeg
huyu ndo dada aliyepigwa ngumi na chirs baada ya chris kudai dada huyu hana hadh ya kumpiga picha chris brown


Tukiwa tunaendelea pumuzisha kichwa kwa picha yetu na week
lowassa.jpeg



Tukisalia mambele habar ya huko ni tuzo kubwa kuliko za bet ambapo mnyama mkubwa dj khalid kachaguliwa kuwa host wa tuzo hizo lakin kumbuka wakati huo huo jamaa yuko nomineted yaan anawania tuzo katika vipengele tisa
dj-khaled-1024x682.jpeg


Kama unakumbuka kuna mafahali wawili huko USA huwa hawapatan mafahali hao ni marap wakubwa sana ambao ni jayz na kanye west bifu lao lilianzia pale kanye west alipozungumuzia mambo ya familia ya jayz akiwa jukwaan, jayz alichukia sana na toka siku hiyo wakawa hawapatan tena. Lakin habar njema ni kwamba jayz kakubali kukutana na kusuluhishwa ili wayamalize na mshikaji kwahiyo tegemea hawa jamaa watakuwa pamoja tena kama hapo awali walivyokuwa marafiki wakubwa
070617-Music-Jay-Z-Kanye-West-1-1024x512.jpeg



Ebhana ee sasa hebu tulud hapa home kwa mastory za mastaa ambapo habari kubwa ikiwa ni diomond na mobeto pamoja na zar

Baki na mimi mdau
IMG-20170312-WA0005.jpeg
watu hawa wana wasalimia sana

Ebhana ee juz mwana fa kafunguka ya moyon na kudai kuwa yule rapa mkubwa kuliko hapa bongo ngosha ze don si mgumu tena kwa sasa bali ni mlain sana kama kitumbua, mwana fa alifunguka hayo alipokuwa akipiga story na global jamaa alienda mbali zaid na kusema ngosha alikuwa mgumu zaman lakin kwa sasa hana tena mashail magumu yaa kawa mlain sana
mwana-fa-na-fid-q.jpeg


Tukiachana na hiyo story nyingine kubwa ni kwamba yule mdada matata asiye ishiwa vituko gigy money week ile alibua maneno mengi sana baada ya kutolewa mahal ya milion tano na kuikataa alipodai yeye si wa bei hiyo na thaman yake ni kubwa sana ya milion kumi had kumi na tano 10-15
Gigy%2BMoney-Alela.jpeg



Story nyingine ni hii ya masogange. Masogange anataka kuwa mchungaji na ana mpango wa kufungua kanisa lake na yeye mwenyewe ndo atakuwa mchungaji hayo aliyasema alipokuwa akipiga story na global, kumbuka mdada huyu ana kes ya madawa ta kulevya
maso.jpeg



Story nyingine ni mpango huu wa wolper. Wolper anataka kumutolea mahal ben ten wake yaan mchumba wake mpya ingawa mwenyewe alikana na kuzikataa habar hizo na kusema si za kwel hata kidogo
13259601_1314343238581519_206160940_n.jpeg


Tifu kubwa kuliko kwa sasa ni mobeto na zar watu hawa wamezaa na mwanaume mmoja ambaye na diomond wa mbangala, bifu hilo ni kubwa sana kwa sasa na limefika mahala patamu kinoma ambapo ugonv wao umeweza kuingiliwa had na mkuu wa mkoa wa dar bwana paul makonda
ZARIIIIIIIIII-300x169.jpeg



Story ambazo zimehapen ni nyingi sana mtu wangu zote sitaweza kuziweka hapa

Huu ni mda wa top ten

1 ROMA ZIMBABWE
2 SEDUCE ME
3 FRESH FID Q
4 NAND WASIKUDANGANYE
5 WCB ZILIPENDWA
6 NAY MAKU MAKUZ
7 CHEGE
8 OMY DIMPOZ CHECHE
9 YONG KILER NA HAMONIZ
10 COYO ITAKUCOST


weka ngoma tano hapo chin iliziingie top ten vile vile nambie ni ngoma gan na ngoma zip zitoke kwenye top ten yetu ya BEIRA BABY BOY SHOW

PIGA KURA NA UNANIMBIE NI NAN MKAL WA MWENZIE KATI YA HOST HAWA WAWIL

mmoja ni wa radio na mmoja na tv nao ni SAMISAGO WA EAST AFRICA TV NA MILAD AYO WA CROUDS RADIO

NAMBIE NI NAN MKAL ZAID NITAHESAB KULA NA TUTAMJUA MKAL ZAID

A
16583493_691584627668840_4726809593139691520_a.jpeg


B
aa6362d25beb4c3bce5bd3d4f1ed33db.jpeg



Kama una story kubwa kuliko ambayo mimi sijaiweka hapa iweke ili twende sawa mtu wangu. Kumbuka kupiga kura na kupendekeza ngoma zip ziingie na ngoma zip zitoke katika top ten yetu ya BEIRA BABY BOY SHOW NIGGA

USHAUL WAKO NI MUHIM ZAID MKUU

Tukutane tena week ijayo mtu wangu kwenye show letu la nguvu

Matus hap si mahar pake wadau


SHOW KUBWA KULIKO


KARIBU SANA


LONDON BABY
 
Pamoja sana Mkuu Show iko Bomba kichizi ila naushauri kidogo..

* Andika vizuri, unamuandiko mbaya ambao sio rafiki kwa wasomaji hasa hawa the so called GT. Jali matumizi ya Sarufi kweny r usiweke l herufi kubwa usiweke ndogp mf. Tundu tundu pia usiandike kwa ufupii...

*Fanya Kuwa Tag team umbea wote ili kuipa kiki show hope unawajua wote, thread ina viewers weng ila replies chache.

Pia ongeza session ya Muvi mpya za mbele na hapa bongo.

Mm napenda kupendekeza wimbo wa name mate wangu Rayvanny _ Unaibiwa.

-Mondray-
 
Pamoja sana Mkuu Show iko Bomba kichizi ila naushauri kidogo..

* Andika vizuri, unamuandiko mbaya ambao sio rafiki kwa wasomaji hasa hawa the so called GT. Jali matumizi ya Sarufi kweny r usiweke l herufi kubwa usiweke ndogp mf. Tundu tundu pia usiandike kwa ufupii...

*Fanya Kuwa Tag team umbea wote ili kuipa kiki show hope unawajua wote, thread ina viewers weng ila replies chache.

Pia ongeza session ya Muvi mpya za mbele na hapa bongo.

Mm napenda kupendekeza wimbo wa name mate wangu Rayvanny _ Unaibiwa.

-Mondray-
Ushaur mzur sana nimekuelewa sana kiongoz wangu
 
suge-knight-in-court.png

Huyu jamaa anaitwa suge knight ni mliki wa studio kubwa huko marekan jamaa anadai hana iman kama tupac alikufa, jamaa anadai kipindi tupac anapigwa risas alikuwa naye kwenye gar
 
Back
Top Bottom