mmmmmmmmhhhh una uhakika mtaishia kubadilishana mawazo tu? au?
daaaaaah zali hilo
All the best.
Unao uwezo wa kuwa msaada kwangu.
Nasikitika kukuambia this weekend niko fully booked.
mimi utanikaba bureee?Na wewe ni mojawapo
mimi utanikaba bureee?
Ok, nabuku leo kwa ajili ya next wekend. Asante sana.
upo mkoa gani au uko tayari kusafiri kwa ajili ya kubadilishana mawazo
All the best.
Sasa umeshasema this weekend mambo ya next yametokea wapi? na je ukimpata bibie for this w/end utamtosa?
Lily Flower,.....ameomba mu_MP,halafu wewe ndio unampotezea kiaina..............fanya hivyo bana jamaa kasema yuko mpweke sana
Lily Flower,.....ameomba mu_MP,halafu wewe ndio unampotezea kiaina..............fanya hivyo bana jamaa kasema yuko mpweke sana
dalili zinaonesha nimegonga mwamba for this wikiendi. niwekee tu nafasi yangu ya wikiendi ijayo. sitachoka kusubiri.