Ombi Maalum kwa PAW

Ombi Maalum kwa PAW

hivi wewe utakuwa na wanawake wangapi mjengoni hapa
mara mwanetu mtoto wa passion lady unaye?
mara huyo
mara yule
mara huyu
mara mie
sijui nikuweke kwenye fungu gani hasa?
la team ipi hapa CHAGUA MWENYEWE SASA


Anajiita dume la mbegu
 
mwache atake masifa yatampunguzia kilo halafu aje aseme hatukumwambie siye
tushanawa mikono yetu mwache ipo siku atatukumbuka siye

kumbe wewe ni MC?

* Mc & hall/open space decoration- KARIBU
 
Back
Top Bottom