Jina langu ni kama unavyolisoma hapo juu.
Leo kwenye kupitia faili langu nimekutana na haya hapa:
Join Date : 11th April 2011
Location : Mafinga
Posts : 20,458
Rep Power : 42,512,103
Likes Received : 11,289
Likes Given : 27,087
............... Ombi langu
Ni hivi hii, hapa Rep Power : 42,512,103
tubadilishane kwa pesa.
Mamndenyi mamii nakudai rep, lol! nimetaka kukuongezea wameniambia spread to others first!!.... soooo, pay back fadhila!! hahahhaaaa!!!
ntarudi kwako mpenzi!
hahahaaaa!!! mi ndo nimeanza kukugei bana ila wakanibana kwamba sambaza upendo kwa wengine kwanza! lols...Tayari nimefanya hivyo,
Nimeamini ile ya aliyenacho huongezwa.
hahahaaaa!!! mi ndo nimeanza kukugei bana ila wakanibana kwamba sambaza upendo kwa wengine kwanza! lols...
hivi mamii, ile proposal yetu imefikia wapi?.. usiniambie kuwa umeshau eeenh!
ladyfurahia nimekuona mrembo wangu,
asante zangu zikufikie popote pale ulipo
Jina langu ni kama unavyolisoma hapo juu.
Leo kwenye kupitia faili langu nimekutana na haya hapa:
Join Date : 11th April 2011
Location : Mafinga
Posts : 20,458
Rep Power : 42,512,103
Likes Received : 11,289
Likes Given : 27,087
............... Ombi langu
Ni hivi hii, hapa Rep Power : 42,512,103
tubadilishane kwa pesa.
Nami niombee kwa shem wangu ladyfurahia na kwa mkwe Excel na kwako pia naomba. Afu mtalaka hatongozwi ujue!