Ombi Maalum kwa PAW

Ombi Maalum kwa PAW

Remote japo unajitahidi kupiga maktaimu hapo

lakini jitahidi kushow lavu ili waje kwako.

uko hivi: Rep Power : 2169

my dada namimi niangalie ya kwangu simu ya NOKLA inazngua
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni yeye huwa nakutana naye mara kwa mara

Vipi yule demu wake wa kule MMU Je, ulifanikiwa kumpora?
Nawasalimu wote, nami naomba mnipe hayo makitu. Ila Mamndenyi elewa kuwa Paw tulishamfukuza kazi siku nyingi sana!

Yuko pale Posta anauza magazeti.
 
Hilo la pili ndilo muhimu sana kwangu,
Salio nakuwekea kila mara sema tu hautilii maanani.

Mimi nina wazo mbadala; tunataka Rep Power ziwe miaka yetu ya kuishi hapa duniani. Kwani wataka kufa wewe?
 
hivi wewe utakuwa na wanawake wangapi mjengoni hapa
mara mwanetu mtoto wa passion lady unaye?
mara huyo
mara yule
mara huyu
mara mie
sijui nikuweke kwenye fungu gani hasa?
la team ipi hapa CHAGUA MWENYEWE SASA

lols... unajua napendwa sana mama (mamii-- hili bana halitoki ulimini mwangu! lols)

karibu tupate supu ya pweza!!
 
Back
Top Bottom