Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
nakudai... lols!
nimambie mtoto mzuri! toka mchana naku-text, lakin sms hazifiki! dou no why!
na dawa ya deni ni kulipa lols
nakudai... lols!
nimambie mtoto mzuri! toka mchana naku-text, lakin sms hazifiki! dou no why!
Ygv
Eti kuna atm mafuta ya gari na shopping Dubai
Hahaha nitakupa ngoja niwe kwenye komputa
Jina langu ni kama unavyolisoma hapo juu.
Leo kwenye kupitia faili langu nimekutana na haya hapa:
Join Date : 11th April 2011
Location : Mafinga
Posts : 20,458
Rep Power : 42,512,103
Likes Received : 11,289
Likes Given : 27,087
............... Ombi langu
Ni hivi hii, hapa Rep Power : 42,512,103
tubadilishane kwa pesa.
Sasa ni lazima ninunue ndege siyo daladAla tena. Maisha bora kwa kila mwana jf.
Una akili sana wewe
Ujue mchana nlichoka sana nliona nyota nyota sikuelewa.
Kumbe unamuomba paw akubadilishie rep power kwa hela.
Ok my dafa mie nakupigia debe ukipata hizo hela naomba usinsahau