Ombi la mchango ili ninunue simu nyingine...!!!

Ombi la mchango ili ninunue simu nyingine...!!!

Uwe mvumilivu tu jomba, mie niliomba mchango ninunue gari ili niweze kutekeleza vyema majukumu yangu ya uwenyekiti tangu mwaka jana hadi sasa nimesaidiwa side mirror moja used, wheel cap mbili used na oil lita moja na nusu. Nimevitunza na naendelea na mchakato, hope baadae ntapewa gear box ..... mdogomdogo hadi gari itakamilika.. it's just hope.

Hahah daah mkuu Baba V itabidi tu niwe na imani ya kuhamisha milima!
 
Last edited by a moderator:
Uwe mvumilivu tu jomba, mie niliomba mchango ninunue gari ili niweze kutekeleza vyema majukumu yangu ya uwenyekiti tangu mwaka jana hadi sasa nimesaidiwa side mirror moja used, wheel cap mbili used na oil lita moja na nusu. Nimevitunza na naendelea na mchakato, hope baadae ntapewa gear box ..... mdogomdogo hadi gari itakamilika.. it's just hope.

only hope makes us to survive.
 
Basi afadhali ya kwako...yangu mie nimeingia tu jf imezima nataka kutoka hapa sijui ntatokaje,na nasinzia tuuu apa...chini hapalaliki vumbi jingi subiri ntafute japo kiroba...
 
hii ina matatizo kibao:
(1)Inakaa chaji dk 4 tu.
(2) ukituma msg ya asubuhi njema inafika mchana mwema, na ukituma ya mchana mwema inafika usiku mwema na ukituma ya usiku mwema inafika asubuhi njema.
(3)-Ikipita Ndege kubwa angani inaandika '1missed call'
(4)-Nikipishana na Mchina inaandika "Bluetooth on"
(5)-Nikipita karibu na jiko inaandika "charger connected" chonde chonde nisaidieni.

Ngoja nikutafutie ka Nokia Ringo fulani hivi kakusaidie sababu kale kanadaka hadi Ngorongoro crater!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom