Ombi: Ikulu ipuuze waraka wa Kakobe

Ombi: Ikulu ipuuze waraka wa Kakobe

HAMY-D kama upo karibu na muheshimiwa Rais wetu, muambie apige magoti atubu tu Mungu atamsamehe kwa hili kama linamuhusu na mengine. Mwambie asihofu, naye apige goti Mungu atamsikia. Mungu ni wetu sote wala siyo wa Askofu Kakobe pekee. Mh. Rais wala hana haja ya kumuomba radhi Askofu Kakobe ama PCT. Maombi yake ya falagha yatamuweka huru. natumaini amekwisha lifanya hili kama atakuwa na washauri wazuri wa kumuongoza haya.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naona unatoka povu tu hpa

Hivi ule umeme uliwaka???

Ripoti toka kwa Mainjinia wa pale UDSM inasema chanzo chakutowaka ni nini??

Wapi Ngeleja??

Chezeya watumishi wa Mungu weyeeee

Ha haaa! watajibeba, wamezoea kupuuza na kudharau kula kitu, Leo dharau nguvu ya Mungu tuone..waTanzania tumekuwa wapole kama kondoo, acheni Mungu aingilie Kati atuokoe
 
HAMMY-D, hawa PCT kweli walionewa. Ikulu imedanganya kuwa hawakufuata sheria lakini PCT wametoa ushahidi wa barua kutoka Ikulu yenye sahihi ya mtu wa Ikulu kuthibitisha kuwa walipeleka majina yao na yakapokelewa. Kwa nini hawakuchaguliwa? huenda ilionekana kuwa majina yamekuwa mengi na wao si wa muhimu kivile, laki ukweli walifuata utaratibu wote kisheria. Kuhusu ujumbe wa Kakobe, anadai kaambiwa na Mungu. Mimi naungana na wewe kuwa CCM waupuuze kabisa halafu tuone matokeo. Ujumbe ule ni predictive. Una muda ambao utakuwa umetokea katika ukamilifu wake - 2015. Ikulu ikipuuza halafu kama hakutakuwa na madhara yoyote hadi 2015 ya kuvurugana na kutoelewana kabisa, tutajua kuwa Kakobe ni mwongo. Naona wapuuze kabisa!

Ha haaa! kweli wapuuze kabisa maana tunataka ukombozi, hata Farao alipuuza yakamkuta ya kumkuta....
 
Kweli wewe ni uneducated. Hivi Kikwete ni nani kwetu!? Hujui kuwa ni rais wetu sote? Sasa kweli maamuzi yake anayo yafanya huoni kama yana muathiri kila mwananchi?

Kama ungefanikiwa ku-attend vipindi vichache vya civics ya kidato cha pili usinge andika hizo pumba hapo. Ila sikulaumu, cha msingi urudi shule ukaondoe ujinga mkuu.

embu kwenda zako kule na wewe kima mtoto huyo raisi angekuwa wa wote si angekuwa anaweka wazi mikataba anayo saini kimya kimya ikulu kwa manufaa ya watanzania wote??wewe ndio mjinga halafu unajifanya mjuaji ili hali huna ulijualo zaidi ya kujipendekeza pendekeza hata kwa mambo yasio hitaji kujipendekeza. Swala ni kwamba waraka kapewa RAIS yeye ana lalama nini ?? Kama sio kujipendekeza kama unavo fanya wewe?tafakari chukua hatua ushabiki wa kipuuzi wakati taifa linaangamia ni laana kwa vizazi vyako vijavyo,hakuna watakalo jivunia kwako wakati hutumii akili kutafakari mambo.
 
HAMY-D kama upo karibu na muheshimiwa Rais wetu, muambie apige magoti atubu tu Mungu atamsamehe kwa hili kama linamuhusu na mengine. Mwambie asihofu, naye apige goti Mungu atamsikia. Mungu ni wetu sote wala siyo wa Askofu Kakobe pekee. Mh. Rais wala hana haja ya kumuomba radhi Askofu Kakobe ama PCT. Maombi yake ya falagha yatamuweka huru. natumaini amekwisha lifanya hili kama atakuwa na washauri wazuri wa kumuongoza haya.

Kwanza, rais hana sababu yoyote ya kumuomba msamaha mpentekosto yeyote kwa kuwa rais hatekelezi majukumu yake kumfurahisha mpentekosti bali anafanya mambo kwa mujibu wa sheria.

Pia rais hana sababu ya kumuomba Kakobe msamaha kwa kuwa anamfahamu vizuri kuliko sisi sote hapa kuwa Kakobe ni vuvuzela tu.

Pia, mimi, wewe au yule hatuna sababu ya kumsihi rais apige magoti au afanye ibada. Hilo ni suala ambalo mhe rais analifahamu na analifanya kupitia imani yake ya kiislamu.
 
Last edited by a moderator:
HAMMY-D, hawa PCT kweli walionewa. Ikulu imedanganya kuwa hawakufuata sheria lakini PCT wametoa ushahidi wa barua kutoka Ikulu yenye sahihi ya mtu wa Ikulu kuthibitisha kuwa walipeleka majina yao na yakapokelewa. Kwa nini hawakuchaguliwa? huenda ilionekana kuwa majina yamekuwa mengi na wao si wa muhimu kivile, laki ukweli walifuata utaratibu wote kisheria. Kuhusu ujumbe wa Kakobe, anadai kaambiwa na Mungu. Mimi naungana na wewe kuwa CCM waupuuze kabisa halafu tuone matokeo. Ujumbe ule ni predictive. Una muda ambao utakuwa umetokea katika ukamilifu wake - 2015. Ikulu ikipuuza halafu kama hakutakuwa na madhara yoyote hadi 2015 ya kuvurugana na kutoelewana kabisa, tutajua kuwa Kakobe ni mwongo. Naona wapuuze kabisa!

kwanza nikueleze tu kuwa serikali haiendeshwi kwa prophecy. Serikali inaendeshwa kwa kufuata misingi ya kisheria.

Kama kila mtu akiandika ujumbe wake Ikulu leo wakitaka mambo yafanywe ili yamridhishe yeye au kikundi chake hali itakuwaje?

Ndio maana nasema Ikulu ipuuze huo ujumbe kama ambavyo ilikwisha kupuuza mambo mengine yenye upuuzi wa aina hiyo ya Kakobe.
 
HAMY-D kama upo karibu na muheshimiwa Rais wetu, muambie apige magoti atubu tu Mungu atamsamehe kwa hili kama linamuhusu na mengine. Mwambie asihofu, naye apige goti Mungu atamsikia. Mungu ni wetu sote wala siyo wa Askofu Kakobe pekee. Mh. Rais wala hana haja ya kumuomba radhi Askofu Kakobe ama PCT. Maombi yake ya falagha yatamuweka huru. natumaini amekwisha lifanya hili kama atakuwa na washauri wazuri wa kumuongoza haya.

Ni kutwanga maji kwny kinu,

Asilimia 99 ya viongozi wa serikali hususan CCM hawana hofu ya Mungu. wwanaabudu Miungu wengine!

Asilimia 99 ya wafuuasi wa CCM hawana pia hofu ya Mungu, wanaabuduu miungu wengine.

Nna ndio maana wamejawa na roho dhuruma, wizi, uchoyo, uchawi na hata roho ya kuua!

Jambo hili kama hawatapiga goti na kumwomba mungu awarehemu ni jambo litalalotesa vizazi vya ccm!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza, rais hana sababu yoyote ya kumuomba msamaha mpentekosto yeyote kwa kuwa rais hatekelezi majukumu yake kumfurahisha mpentekosti bali anafanya mambo kwa mujibu wa sheria.

Pia rais hana sababu ya kumuomba Kakobe msamaha kwa kuwa anamfahamu vizuri kuliko sisi sote hapa kuwa Kakobe ni vuvuzela tu.

Pia, mimi, wewe au yule hatuna sababu ya kumsihi rais apige magoti au afanye ibada. Hilo ni suala ambalo mhe rais analifahamu na analifanya kupitia imani yake ya kiislamu.

Inaelekea hukunisoma vizuri, mimi nimesisitiza wa kumuomba toba na msamaha ni Mungu pekee aliyeziumba Mbingu na Nchi. Pili, ndiyo maana nikasema inawezekana Mh. rais ameshalitenda hili la kumuomba Mungu, sasa wewe unawasiwasi gani??.
 
Amwombe Mungu halafu kina majii marefu na wale wazee wa Tanga, bagamoyo na msoga wafanye kazi gani?
 
Ikulu ikiwapuuza Wapentekoste kazi ni nyepesi sana Wapentekoste nao waipuuze na kuikataa CCM kwenye kisanduku cha KURA 2015.
 
Kwani Mchg Zakaria Kakobe anaomba kazi Ikulu ??
Yeye kaleta ujumbe wa Mungu nyinyi endelea kupuuza na kudharau!!
Kwa Mungu mwanadamu ni kama maua, yanachanua asubuhi jioni hunyauka!!

Kama Kakobe angekaa chini na kufikiri kwa uchache tu kuhusu huo ujumbe anao usema umetoka kwa Mungu asinge thubutu kuupeleka Ikulu.

Kwanza napata shaka na Mungu ambae Kakobe amem-refer. Asije akawa Mungu wa kusadikika. Maana Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Yakobo sidhani kama anaongea na matapeli wa kiroho aina ya Kakobe.
 
Hivi ukikosea kufuata maelekezo ndiyo unanyimwa haki yako kabisa!!?? Kwa nini hawakupewa maelekezo ili walekebishe pale walipokosea?? Hivi hii ingetokea kwa wakatoriki au waislamu, Ikulu ingechukua uamuzi huhu?? Kwa vile inaelekea unajua sana kilichotokea .......... ingekuwa vizuri kama ungetuambia nafasi yao amepewa nani!!?

Exactly, kama ukikosea kufuata utaratibu haki yako inapotea na kwenda kwa mwingine. Katika dunia hii fursa ni chache sana, zinagombaniwa, sasa utawezaje ku-afford kukosea taratibu ndugu!?

Nenda kafanye tafiti huko vyuoni na maeneo mengine kaulize ni changamoto gani walikumbana nazo. Wengi watakwambia nimekosa mkopo wa kunisomesha kwa kuwa alikosea utaratibu.

Mwingine amekosa ajira ambayo alistahili kuipata kwa kuwa tu amekosea kufuata utaratibu. Mwingine amekosa promotion kazini kwa kuwa tu akufuata utaratibu, mwingine amekosa uraia kwa kuwa hakufuata utaratibu. Mwingine haki yake ya kuishi inapotea kwa kuwa tu akufuata utaratibu. Mifano ipo mingi sana.
 
swala la kudharau ujumbe wa kakobe sio wewe hami D umesema hata ujumbe wenyewe umesema hivyohivyo kuwa mtadharau, mtakejeli, mtabeza . lakini naneno ya mungu yaliyoletwa na mtumishi wake kakobe yatasimama maana mungu haogopi dharau wala kejeli nyie subirini muone kwani 2015 ni mbali???
 
Kweli wewe ni uneducated. Hivi Kikwete ni nani kwetu!? Hujui kuwa ni rais wetu sote? Sasa kweli maamuzi yake anayo yafanya huoni kama yana muathiri kila mwananchi?

Sasa unaongea nini? Kwani Kakobe na hao PCT sio wananchi? Kuatirika kwao si ndio maana wamelalamika?
 
Mambo ya kusadikika ngoja mukutane na nguvu kubwa neno la mutumishi wa Mungu ni sheria. Eliya alishusha moto ukalamba maelfu. Mumuangukie mutumishi wa Mungu awaombee rehema kwa Mungu la sivyo mutamujua Mungu wake yule afukuzaye pepo wachafu wawatoke watu. Itakula kwenu soon. Nawahurumia.Teh teh teh!.
Mtumishi wa Mungu yupi.... Jah, Krishna, Ngai, Budha Y esu Allah, Man-above, Mars Thor, Ra, Mulungu etc... toa upumbavu wako wa mapepo , unadhani kila mtu anaamini unachokiamini wewe. IDIOT:A S confused:
 
Kakobe ni mpuuzi kama walivyowapuuz wengine na ndiyo maana Rais Kikwete amempuuza.
Unafikiri upo sahihi kwa ulichosema?Heri siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.Laiti Ungekuwa na Hekima ungefasiri Neno hili.[Jifunze kuheshimu watumishi wa MUNGU Aliye Hai] uwe na Adabu
 
WanaJF,

UZEMBE NI WA NANI MPAKA PCT IMEKOSA MWAKILISHI BUNGE LA KATIBA?

Ndugu zangu, hili suala limeshatolewa ufafanuzi na Ikulu na Watanzania wakaridhika maana kabla ya ufafanuzi Watanzania walikuwa wame-panic kuwa PCT imeonewa na kudhurumiwa haki yao ya kushiriki kuandaa katiba.

Ufafanuzi ulisema kwamba, baraza la maaskofu alikufuata maelekezo ya sheria katika kuwasilisha mapendekezo yao ya wawakilishi.

Jambo ambalo PCT walikosea ni kujipendekeza kama watu binafsi badala ya kuwa kwenye makundi kama ambavyo sheria ilielekeza. Hivyo serikali haikuwa na budi bali kupiga majina ya PCT kapuni na kupelekea wapentekosti kukosa mwakilishi.

Hivyo hapa mtajionea kuwa kosa lilikuwa la PCT na sio serikali.

KUANDIKWA KWA WARAKA IKULU:

Baada ya maelezo ya serikali kutolewa, baraza la maaskofu liliridhia kuwa wao ndio hawakufuata maelekezo ya sheria hivyo kukiri kuwa walikosea pia walitoa taarifa kwa umma kuwa wameelewana na serikali kuhusu sakata lao.

Lakini ghafla Watanzania tumeshangazwa na Kakobe ambae amejitokeza na kumuandika mhe. Rais ujumbe uliojaa vitisho na mambo mengi ya kusadikika.

Kusema ukweli hili ni jambo la ajabu, sijui Kakobe kakurupuka au vipi, maana kuhusu Pentekosti kukosa mwakilishi tayari Ikulu imelimaliza na aliyefanya kosa la kukosekana kwa mwakilishi wao kwenye bunge ni hao PCT wenyewe.

Sasa Kakobe tatizo lake hapa ni nini!? Nini ambacho hajakielewa katika ufafanuzi wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kuhusu hili suala!?

Nitoe angalizo kwa Kakobe: kama Kakobe alitaka arudishe umaarufu wake uliotoweka kupitia huu waraka, basi amepotoka big time.

Watanzania sio wajinga kama ambavyo Kakobe anadhani. Kama Kakobe alifanikiwa kudanganya baadhi ya Watanzania na kuweza kujitajirisha, basi asidhani kama ataweza kutudanganya Watanzania wote.

Kikwete aliwahi kudharau ujumbe kama huo lakini ilimpelekea kuanguka pale jangwani!!!
 
HAMY-D acha kuzungumza pumba. Kakobe kwashika mahali pabaya ninyi mnaotegemea mazingaombwe. Nani kakuambia kwamba wapetekoste hawakupeleka majina. Labda wewe ndiye uliyepokea majina hayo ukayapuuza kwa sababu ulijua wakiingia huko mambo yenu hayatakuwa mnanyotaka. Acheni kutegemea wachawi. Ukweli unauma. Usicheze na mungu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom