Ombi: Ikulu ipuuze waraka wa Kakobe

Ombi: Ikulu ipuuze waraka wa Kakobe

Manake alichokifanya Kakobe ni sawa na kundi la Mashia au Ahmadiya Tanzania nao wapeleke kilio chao kwakukosa mwakilishi bunge la katiba wakati nao wanahaki hiyo. Kwa mantiki hii kila dhehebu la dini likitaka kuwa na muwakilishi bunge la katiba sasa kungekuwa kuna undwa katiba ya dini au katiba ya nchi? Kakobe ni tapeli miongoni mwa matapeli hapa Tanzania, tumsameheni tu.
 
Mambo ya kusadikika ngoja mukutane na nguvu kubwa neno la mutumishi wa Mungu ni sheria. Eliya alishusha moto ukalamba maelfu. Mumuangukie mutumishi wa Mungu awaombee rehema kwa Mungu la sivyo mutamujua Mungu wake yule afukuzaye pepo wachafu wawatoke watu. Itakula kwenu soon. Nawahurumia.Teh teh teh!.

Mungu gani anaombwa na mvaa hirizi na pete za kishetani kujifanya anamiujiza? Mnadhani Mungu ni wakudanganywadanganywa?
 
Kakobe amemwambia kuwa CCM inakufa , sasa akipuuza kuomba rehema za Mola si yatatimia hayo? Sasa unataka nini kupuuzwa ?

Ccm haiwezi kufa kwa dua ya kuku kama Kakobe. Labda aombe majini yake pekee ndio yanaweza toa miujiza ya viinimacho lakini si Mungu wetu aliyetukuka.
 
Ukifuatilia nyendo za Kakobe tangu enzi za mkapa utaona jinsi alivyo na agenda ya siri moyoni mwake.
 
Kweli wewe ni uneducated. Hivi Kikwete ni nani kwetu!? Hujui kuwa ni rais wetu sote? Sasa kweli maamuzi yake anayo yafanya huoni kama yana muathiri kila mwananchi?

Kama ungefanikiwa ku-attend vipindi vichache vya civics ya kidato cha pili usinge andika hizo pumba hapo. Ila sikulaumu, cha msingi urudi shule ukaondoe ujinga mkuu.
Huu waraka umewashika pabaya. Bahati nzuri katoa na suluhu. Tubuni la sivyo msahau na mumlaumu huyo kikwete. Hata kama walikosea kupeleka majina hapakuwa na namna ya kurekebisha?
 
HAMY-D Acha kuidharirisha ikulu wewe mwanaharamu,

Ikulu ilisema haikupokea majina ya maaskofu hao,

Maaskofu hao wametoa orodha ya majina hayo na wametaja mtu halisi aliyeyapokea majina hayo hapo ikulu.

Kwa akili yako fupi unadhani nani mzandiki??

Ili neno la Jah litimie, Kikwete na wenzake wapuuze agizo la Jah kupitia kwa Kakobe.
 
Last edited by a moderator:
Mtajua wenyewe kama mpuuze au lah, we are less concern on this stupidity notion. Over.
 
HAMY-D Tanesco, Ikulu na Wizara ya Nishati na Madini Jibuni Mswali haya ya Mayage S. Mayage!!!

TANASCO ,IKULU NA WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAMEKWEPA KUJIBU MASWALI YA MAYAGE .S.MAYAGE HADI LEO.

Tarehe 7/3/2010 Waziri wa nishati na madini alisema kwamba , Askofu Kakobe wa Full Gospel Bible Fellow Ship , alikuwa amekwamisha Shughuri za mradi wa TANESCO kwa siku 77 , ambapo alisema imekuwa kero kwa serikali na kwamba sehemu iliyobaki ni kidogo ambayo ingekamilika mara moja baada ya kutumia Nguvu za dola kupitisha Umeme pale kwa kwa Mbwembwe.

Ngereja alitamka wazi kuwa umeme huo ungezinduliwa na rais Kikwete baada ya kukamilika mara moja mwezi April kabla hata Kikao cha Bunge la Bajeti halijaisha na kama Waziri wa Nishati na Madini alikuwa anahofia maswali kutoka kwa Wapinzani.


Ninakumbuka ndani ya press hiyo iliyofanyika wizarani kulikuwea na Prince Bagenda na Jacton Manyerere ambaye wakati huo yupo gzt Mtanzania alishangilia sana maamzi ya Ngereja na kesho yake akaandika story mbaya sana Kumkandia Kakobe.

Siku ile Jacton Manyerere aliongea sana na Badra Masudi ,msemaji wa TANESCO ambaye watu wengi wamekuwa wanamtuhumu kuwa aliwekwa na Mtandao wa Lowassa sambamba na mahusiano yake hapo TANESCO akitokea sehemu mbalimbali kabla ya wizi wa RICHMONDI.
Badra Masoudi na Jacton Manyerere wamekuwa wanafanya Lobing kutetea CCM kabla ya Mpasuko wa agenda ya Kujivua gamba na pesa nyingi za Kumshambulia Kakobe zilielekezwa hapo na mwandishi Masiaga Matinyi amefanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa.
Ni Manyerere huyohuyo aliyepewa pesa na kuanzisha gazeti la Jamuhuri mwenye kuhoji maswali mazito ya serikali lakini hajawahi kuhoji suala la kutopita umeme na ufisadi wa Lowasa katika gazeti lake.

Wakati wa Kubomoa Mabango ya Kakobe Vyombo vyote vya dola vilihamia pale lakini wealisituka kuwa Kakobe haukuleta upinzani wowte na wao wakachukua mabango yale na kuyapeleka makao makuu ya TANESCO Ubungo hadi leo.

Jambo lilishangaza ni kwamba Kikwete hakuzindua ule mradi wala serikali ya Japani haikutembelea hapo isipokuwa zilivuja taarifa kutoka TANESCO kuwa Vikombe katika nguzo 19 na 20 havipitishi umeme na wafanyakazi wa TANESCO Mako makuu wakafukuzwa Kazi kwa kosa hilo. Nakumbuka Engineer Baregu wa TANESCO ndiye alikuwa anaongoza issue hiyo.

Kilichofanyika ni kwamba waliagiza vikombe vingine kutoka Japani na Engineer kutoka Japani wakaja kwa nguvu zote na kuweka Vikombe vipya lakini likajitokeza tatizo jingine kwa maana ya suddenly Drop in PD yaani umeme unapita lakini unapofika katika nguzo hapo Kwa Kakobe unafifia.

Hilo tatizo ndilo lililopo hadi sasa na kilichofanyika ni kwamba taa zinawaka lakini umeme huo hauwezi hata kusukuma motor jambo ambalo kwa wale waliosoma High voltage wanaelewa maana yake nini.

Kilichofanyika ni kwamba CCM na serilaki waliwaita waandishi wa TBC na kuwapeleka pale makumbusho na kuwaonyesha kuwa umeme unawaka , lakini hawakueleza kuwa unapita kwa kiwango gani??

Ni aibu kubwa waandishi wetu hawana utaalamu mwingine wa kuhoji masuala ya kiufundi isipokuwa wanatumika kuwasafisha wakubwa.

Hata hivyo Wajapani waliendelea na matengenezo katika nguzo mbele ya kanisa la kakobe tu na wakati wanafanya hivyo lile tingatinga lao walilotumia kupanga kwenye nguzo hizo lilizima ghafla jambo lililo washangaza Wajapani na kuondoka haraka hadi sasa.

Mwaandishi wa Gazeti la Jibu la Maisha aitwaye Singo alikwenda pale na kushuhudia Tinga tinga likiwa limegota na kupiga picha.

Hata hivyo wakati wa Kampeni za Urais Jk alipanga kuzindua mradi huo lakini kabla hajafanya hivyo alishauriwa asizindue hasa pale alipoanguka Jangwani na kukimbizwa Bagamoyo.
Hata hivyo ,Tangu nyaya za umeme zilipopitishwa pale tarehe 9.3.2010, umeme uligoma kupita pale, na Ushahidi wa jambo hili serikalini ni kwamba suala hili lilihojiwa na Mbunge wakati huo Engineer Stella Manyanya ambaye alikuwa anapata hofu kuwa huenda serikali ikapata hasara na Waziri Ngereja alisema wazi kuwa kuna tatizo ila bado wanalishughulikia na hadi leo hajatokea hadharani kueleza kuwa tatizo hilo limekwisha hadi alipo onekanakana juzi anahojiwa na kamati kuu Dodoma juu ya kutoa rushwa na kuanza kampeni Mapema.
Kufuatia usiri huu Mayage .S. Mayage aliyekuwa Mhariri mtendaji wa gazeti la ANIKA UKWELI aliamua kufuatilia suala hili kwa kuyapeleka Maswali nane katika sehemu zifuatazo:


1.Mako Mkuu TANESCO(Badra Masodi)
2.Wizara ya Nisha na Madini (Tesha)
3.Ikulu(Salva)
4.Tanroad

 
Last edited by a moderator:
HAMY-D Majina ya Wajumbe wa PCT yaliyopelekwa Ikulu ya Kiwete Haya hapa!!
Kumekuwa na malumbano makali juu ya majina ya wajumbe wa PCT yaliyo pelekwa ofisi ya Ikulu lakini yakatupwa.
Utafiti unaonyesha kuwa kutupwa kwa majina hayo kulifanyika kwa makusudi lakini baada ya kufanya hivyo sasa wahusika wanalaumiana.
Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Leornadi Manyama ( Mwanasheria wa PCT)
2.Askofu Pau Shemsanga(0652 297358)
3.Askofu Bathoromeo Shega

4.Askofu Bruno Mwakiblwa.
5.Yohana Masinga
6.Rejoyce Ndalima
7.Askofu Eric Mwambigija
8.Askof Banabas Mtokambali( Askofu Mkuu wa TAG)
9.Askofu Davidi Andulile Mwasota( Katibu Mkuu PCT)

Aidha imebainika kuwa serikali ilitaka kuweka vibaraka wao katika majina haya ambapo Askofu Pius Ikongo , Mch. Antony Lusekelo na askofu Gamanywa walikuwa wameandaliwa kama jinsi ilivyofanya katika makundi mengine.
Hofu nyingine imebainika kuwa PCT walikuwa na msimamo wa serikali tatu ambapo ni mwiba wa CCM.
Mtu anayetajwa kuyapokea majina hayo Ikulu na kufanya nao mawasiliano ni Mwanamke ambaye bado sijapata jina lake.

Hata hivyo baada ya Gazeti la Jibu la Maisha kuanika ukweli Ikulu iliwaita Kinyemela Baadhi ya Maaskofu na kuwadanganya kuwa wanyamaze kimya kwani Rais Kikwete anafanya utaratibu wa Kuwateua jambo ambalo liliwafanya wanyamaze kimya.

Hadi leo hatkuna kilichofanyika na Kikwete anazidi kupeta>
 
Last edited by a moderator:
Tujumuike kuliombea taifa,mchakato huu wa katiba umalizike salama,hayo mengine ni mapepo ya kukemea tu,mungu ayaepushie mbali.
 
Majina ya Wajumbe wa PCT yaliyopelekwa Ikulu ya Kiwete Haya hapa!!
Kumekuwa na malumbano makali juu ya majina ya wajumbe wa PCT yaliyo pelekwa ofisi ya Ikulu lakini yakatupwa.
Utafiti unaonyesha kuwa kutupwa kwa majina hayo kulifanyika kwa makusudi lakini baada ya kufanya hivyo sasa wahusika wanalaumiana.
Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Leornadi Manyama ( Mwanasheria wa PCT)
2.Askofu Pau Shemsanga(0652 297358)
3.Askofu Bathoromeo Shega

4.Askofu Bruno Mwakiblwa.
5.Yohana Masinga
6.Rejoyce Ndalima
7.Askofu Eric Mwambigija
8.Askof Banabas Mtokambali( Askofu Mkuu wa TAG)
9.Askofu Davidi Andulile Mwasota( Katibu Mkuu PCT)

Aidha imebainika kuwa serikali ilitaka kuweka vibaraka wao katika majina haya ambapo Askofu Pius Ikongo , Mch. Antony Lusekelo na askofu Gamanywa walikuwa wameandaliwa kama jinsi ilivyofanya katika makundi mengine.
Hofu nyingine imebainika kuwa PCT walikuwa na msimamo wa serikali tatu ambapo ni mwiba wa CCM.
Mtu anayetajwa kuyapokea majina hayo Ikulu na kufanya nao mawasiliano ni Mwanamke ambaye bado sijapata jina lake.

Hata hivyo baada ya Gazeti la Jibu la Maisha kuanika ukweli Ikulu iliwaita Kinyemela Baadhi ya Maaskofu na kuwadanganya kuwa wanyamaze kimya kwani Rais Kikwete anafanya utaratibu wa Kuwateua jambo ambalo liliwafanya wanyamaze kimya.

Hadi leo hatkuna kilichofanyika na Kikwete anazidi kupeta>​
Mmmmmmmmmmmm? Duhhhhh
 
Ipo kazikubwa sana kwa jk na ikulu yake..kakobe km amemfumania vile Jk hana ujanja tena..zaidi ya kuja lalamika jukwaani
Kakobe ni mpuuzi kama walivyowapuuz wengine na ndiyo maana Rais Kikwete amempuuza.
 
Unasema watanzania siyo wajinga"wakati wewe kwa ulichoandika hapa ni mmoja wa hao watanzania wajinga wasiojitambua'
 
Kakobe ni mpuuzi kama walivyowapuuz wengine na ndiyo maana Rais Kikwete amempuuza.

Wewe unasema Kikwete amepuuza unamdanganya mtu asiyejua mambo. Taarifa kutoka huko zinatisha baada ya kupata waraka huu ndio maana wachangiaji wameongezeka humu.

Bajeti imetengwa kushughurika unamdanganya nani??????????????
 
Tatizo wewe uliye andika huu uzi ni punguani na mpuuzi..

Huyo Kakobe wako tulishampuuza zamani, hivyo hakuna jipya kwa anachokifanya sasa zaidi ya kutapatapa tu. Kikwete hawez kutishwa na mpuuz Kakobe.
 
HAMY-D Ikulu imekusikia, itakufikia
 
Last edited by a moderator:
hammy-D, hawa PCT kweli walionewa. Ikulu imedanganya kuwa hawakufuata sheria lakini PCT wametoa ushahidi wa barua kutoka Ikulu yenye sahihi ya mtu wa Ikulu kuthibitisha kuwa walipeleka majina yao na yakapokelewa. Kwa nini hawakuchaguliwa? huenda ilionekana kuwa majina yamekuwa mengi na wao si wa muhimu kivile, laki ukweli walifuata utaratibu wote kisheria. Kuhusu ujumbe wa Kakobe, anadai kaambiwa na Mungu. Mimi naungana na wewe kuwa CCM waupuuze kabisa halafu tuone matokeo. Ujumbe ule ni predictive. Una muda ambao utakuwa umetokea katika ukamilifu wake - 2015. Ikulu ikipuuza halafu kama hakutakuwa na madhara yoyote hadi 2015 ya kuvurugana na kutoelewana kabisa, tutajua kuwa Kakobe ni mwongo. Naona wapuuze kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom