Ombi: Ikulu ipuuze waraka wa Kakobe

Ombi: Ikulu ipuuze waraka wa Kakobe

Mambo ya kusadikika ngoja mukutane na nguvu kubwa neno la mutumishi wa Mungu ni sheria. Eliya alishusha moto ukalamba maelfu. Mumuangukie mutumishi wa Mungu awaombee rehema kwa Mungu la sivyo mutamujua Mungu wake yule afukuzaye pepo wachafu wawatoke watu. Itakula kwenu soon. Nawahurumia.Teh teh teh!.
ha ha ha ha ha ndoto za Abunuasi hizo,yaani laana itoke kwa KAKOBE kukosa kuchaguliwa BUnge la katiba!!!
 
Nguzo zilipita umeme je?

Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu akigandishwa kwenye zile nguzo ambazo wewe na watu wenye akili kama yako mnasema hazipitishi umeme.

Kakobe ni vuvuzela la muda mrefu sana, nashangaa kwanini hilo hamlioni.
 
Unafikiri upo sahih kwa ulichosema?Heri siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.Laiti Ungekuwa na Hekima ungefasir Neno hili.[Jifunze kuheshimu watumishi wa MUNGU Aliye Hai] uwe na Adabu
...wa kuheshimiwa nani? kakobe?!
 
ccm imeshakufa nanyie mnaodharau watumishi wa MUNGU adhabu zenu zipo kwa Mungu
 
No offence, but to me Kakobe is a cone man. Namuona tapeli kama walivyo matapeli wengine.

Kwanza heshima yangu kwake niliipoteza tangu alivyo kimbia ile ishu ya TANESCO. Yani nilikuwa napita nakuta walaghaika wake wakikesha eti kuomba umeme usipite. Yani kuna watu wajinga hapa duniani.

Hivi sasa kote kumewekwa nguzo na mradi wa TANESCO umesonga mbele huku Kakobe akiambulia aibu na kukimbiwa na waumini wake.

Nakushauri HAMY-D, uachane na Mtumishi wa Mungu Kakobe, ile ni habari nyingine. Walikuwepo wenzako waliojaribu kujifanya wanajua na kuanza kushindana na huyo mtu, wakaishia kubaya. Hatupendi na wewe uishie kubaya, kama huamini endelea na maneno yako ya kejeli,utaona mwisho wake.

Kuhusu umeme wa TANESCO, wewe unaishi Tanzania ipi? Kama huamini kwamba umeme haujapita pale basi jaribu kufuatilia huko TANESCO ukawaulize akina Badra Masoud watakueleza yaliyotokea na utaujua ukweli.

Hatukulazimishi kwamba umwamini Kakobe kuwa ni Mtumishi wa Mungu aliye hai lakini tunakushauri na kukuonya kwasababu tunakupenda. Maneno yako maovu dhidi yake utayatolea hesabu. Chunga ulimi wako.
 
Hapo kwenye BOLD pamepoteza uzito wa hoja ya thread yako.
Itakuwa ngumu kuthibitisha kwamba kilichokusukuma sio chuki kwa Kakobe, japo hoja zako zilikuwa zinaelezeka na kusikika.
No offence, but to me Kakobe is a cone man. Namuona tapeli kama walivyo matapeli wengine.

Kwanza heshima yangu kwake niliipoteza tangu alivyo kimbia ile ishu ya TANESCO. Yani nilikuwa napita nakuta walaghaika wake wakikesha eti kuomba umeme usipite. Yani kuna watu wajinga hapa duniani.

Hivi sasa kote kumewekwa nguzo na mradi wa TANESCO umesonga mbele huku Kakobe akiambulia aibu na kukimbiwa na waumini wake.
 
Uchaguzi uliopita Kakobe aliipigia debe Chadema sasa kiko wapi? Kakobe ni zuga tu.
 
Kushinda walishinda ila hawakutangazwa washindi.....Ushahidi upo na kwakua Mungu hazeeki wala hafi hiyo record itabaki mpaka siku atakapo reveal jinsi apendavyo....

Uthibitisho wa kwanza ni;

Haijawahi tokea tangu uhuru idadi ya wa piga kura kushuka kwa kiwango cha mwaka 2010.....kama ni trend basi usingekuwa drastic kiasi kile

Ushahidi wa pili ni kuwa tukifanya otherwise basi idadi ya walioichagua CCM haifiki hata kwa makisio ya juu sana 20% ya wapiga kura halali Tanzania..... Basi wangekuwa na mapenzi ama ridhaa ya kuongozwa na CCM basi wangejitokeza kupiga kura.

Sasa ukiweka moja na mbili pamoja una gundua kuwa CCM kama Pharaho enzi zake waliamua nao kufanya muujiza wao wa kugeuza fimbo kuwa nyoka kama vile Musa alivyofanya..... Walichosahau ni kuwa fimbo ya Musa ilimeza zile zingine zote ndicho kinachoendelea kutokea sasa mpaka
Unabii kamili ukamilike ndipo tutarudi hapa kuwapa shule tena!
 
wewe ni muwakilishi wa kakobe?, au msemaji wa wapentekosti?, mwachie kakobe mwenyewe anayetapeli watu kwa michango ya kidini ndiye aseme.
Hongera FARISAYO.Ni kawaida kwa FARISAYO yeyote kuwa Mzushi kama ulivyo wewe.Mafarisayo Wezako walisema hivi juu ya YESU.wakamwambia Herode bwana mkubwa tulimsikia akipotosha watu hekaluni akisema ni mfalme wa wayahudi na pia akiwaamuru watu wasilipe kodi kwa Kaisari.Ongeza uzushi ufikie kiwango cha wezako.[Afadhali maskini aendaye katika Unyofu wake,Kuliko Mpotofu wa midomo aliye M-p-u-m-b-a-v-u.]
 
Mchungaji Mtikila,
Mchungaji Lwekatare,
Mchungaji Msigwa,
Hao walokole wanatosha mnataka nini tena?
 
Kweli wewe ni uneducated. Hivi Kikwete ni nani kwetu!? Hujui kuwa ni rais wetu sote? Sasa kweli maamuzi yake anayo yafanya huoni kama yana muathiri kila mwananchi?

Kama ungefanikiwa ku-attend vipindi vichache vya civics ya kidato cha pili usinge andika hizo pumba hapo. Ila sikulaumu, cha msingi urudi shule ukaondoe ujinga mkuu.
umeongea kiingereza cha Kiswahili hakuna maana kutumia lugha usiyoielewa vizuri ili kujifanya wa daraja Fulani ungeweza hata kutumia illiterate kuliko huo utumbo wako
 
Kushinda walishinda ila hawakutangazwa washindi.....Ushahidi upo na kwakua Mungu hazeeki wala hafi hiyo record itabaki mpaka siku atakapo reveal jinsi apendavyo....

Uthibitisho wa kwanza ni;

Haijawahi tokea tangu uhuru idadi ya wa piga kura kushuka kwa kiwango cha mwaka 2010.....kama ni trend basi usingekuwa drastic kiasi kile

Ushahidi wa pili ni kuwa tukifanya otherwise basi idadi ya walioichagua CCM haifiki hata kwa makisio ya juu sana 20% ya wapiga kura halali Tanzania..... Basi wangekuwa na mapenzi ama ridhaa ya kuongozwa na CCM basi wangejitokeza kupiga kura.

Sasa ukiweka moja na mbili pamoja una gundua kuwa CCM kama Pharaho enzi zake waliamua nao kufanya muujiza wao wa kugeuza fimbo kuwa nyoka kama vile Musa alivyofanya..... Walichosahau ni kuwa fimbo ya Musa ilimeza zile zingine zote ndicho kinachoendelea kutokea sasa mpaka
Unabii kamili ukamilike ndipo tutarudi hapa kuwapa shule tena!
Unasema kwa niaba ya Kakobe au kwa niaba ya Chadema?

Mh watu na maajabu. Mungu mwenyewe kasema samehe saba mara sabini sasa kwa nini Askofu Kakobe anatuletea ujumbe wa kutoa adhabu ina maaba CCM haina wanachama wapentekoste??
 
Ndugu sura mbaya wewe unakaa wapi?mpaka leo umeme ulishindwa kukatiza pale,kuthibitisha hilo nenda Mwenge kaulize.Mwaka Juzi mtu mmoja anaye sadikika kuwa kichaa alipanda mpaka kwenye nyaya hizi lakini hakunaswa,wamekuja Wajapan,Wachina wote wameshindwa.Fanaya utafiti kabla ya kuja kwenye mitandao ya kijamii.Na hii MUNGU alimpandisha kichaa huyo kuthibitisha kuwa maombi ya Wenye haki ni manukato.Wakati wa Biblia Wafalme waliwauliza manabii wa MUNGU,Maraisi wa sasa wanamuuliza nani?kama sikweda mlingotini.Sikushangai maana maajenti wa Ibilisi wako kila sehemu.
Bahati mbaya kwake Yupo ili awahudhi watu wa NJIA HII.na hatowatowaweza Kamwe Kashindwa SAULI [Paulo]ataweza Hamy D.naona anavyojilisha UPEPO na kibaya ana nafsi isiyo shiba alafu anaangaika kuishibisha.
[Matendo 9:1-2]
 
Kweli wewe ni uneducated. Hivi Kikwete ni nani kwetu!? Hujui kuwa ni rais wetu sote? Sasa kweli maamuzi yake anayo yafanya huoni kama yana muathiri kila mwananchi?

Kama ungefanikiwa ku-attend vipindi vichache vya civics ya kidato cha pili usinge andika hizo pumba hapo. Ila sikulaumu, cha msingi urudi shule ukaondoe ujinga mkuu.

Umeongoe kweli kabisa

Kakobe arudi akachunge kondoo wake tuh
 
Hongera FARISAYO.Ni kawaida kwa FARISAYO yeyote kuwa Mzushi kama ulivyo wewe.Mafarisayo Wezako walisema hivi juu ya YESU.wakamwambia Herode bwana mkubwa tulimsikia akipotosha watu hekaluni akisema ni mfalme wa wayahudi na pia akiwaamuru watu wasilipe kodi kwa Kaisari.Ongeza uzushi ufikie kiwango cha wezako.[Afadhali maskini aendaye katika Unyofu wake,Kuliko Mpotofu wa midomo aliye M-p-u-m-b-a-v-u.]
eeh! KINYWA CHAKO KIMEJAA KASHIFA NA MATUSI, HARAFU UNAJIFANYA MTETEZI WA MUNGU, KENGE JIKE WEWE.
 
Nakushauri HAMY-D, uachane na Mtumishi wa Mungu Kakobe, ile ni habari nyingine. Walikuwepo wenzako waliojaribu kujifanya wanajua na kuanza kushindana na huyo mtu, wakaishia kubaya. Hatupendi na wewe uishie kubaya, kama huamini endelea na maneno yako ya kejeli,utaona mwisho wake.

Kuhusu umeme wa TANESCO, wewe unaishi Tanzania ipi? Kama huamini kwamba umeme haujapita pale basi jaribu kufuatilia huko TANESCO ukawaulize akina Badra Masoud watakueleza yaliyotokea na utaujua ukweli.

Hatukulazimishi kwamba umwamini Kakobe kuwa ni Mtumishi wa Mungu aliye hai lakini tunakushauri na kukuonya kwasababu tunakupenda. Maneno yako maovu dhidi yake utayatolea hesabu. Chunga ulimi wako.
Tatizo Hamy-D hajui kuwa MUNGU ataleta Hukumuni kila kazi,pamoja na kila neno la siri,likiwa Jema au likiwa Baya.akilijua ili atakuwa na adabu kwa Watumishi wa MUNGU na Kwa Wenye Haki ambayo hakufundishwa kwao na wazazi wake.
 
Back
Top Bottom