Nimejaribu sana kukusoma na kufuatilia kile unachoandika!Nina kipaji,japo kidogo cha kusoma Saikolojia ya mtu hata kama simuoni, ila maandishi yake tu yatanionesha huyu mtu yukoje.HAMMY-D, nadhani shule uliyopita (kama ulipita) itakuwa na matatizo makubwa ambayo kimsingi yanasababishwa na serikali yako.Sijui umefika level gani ila Understanding Capacity yako ina walakini.Ndicho ninachokiona kwenye maandishi yako.
Nikirudi kwenye hoja, Kakobe kasema kwamba kuna Ujumbe katumwa na Mungu, kuhusu kuwa kweli au la, hilo ni MUNGU na Kakobe ndio wanaolijua.Nikuulize wewe leo, ukitumwa na baba yako kwa mtu mwingine, je, unapeleka ujumbe unaoufikiria wewe au ule uliotumwa?Je, ni jukumu lako kuchukua hatua zilizopo kwenye huo waraka au ni jukumu la aliyepelekewa ujumbe?Aliyepelekewa ujumbe ni J.K. Na ni ujumbe ambao umebeba sura ya Kiroho, Je, wewe nawe ni kiongozi wa Kiroho?Waache Masheikh na Maaskofu wengine ndo wamshauri JK kuhusu hilo, na pia, mpaka sasa ni Option, aidha kupuuza au kulitilia maanani.
Pia unasema Wapentekoste walituma majina yao tofauti na sheria inavyotaka, ila hujasema wamekiuka kifungu gani cha sheria.Unaendelea kusema kuwa hawakwenda kama kundi, lakini unasahau hapo umewataja kama PCT, je, PCT ni mtu binafsi au ni Kundi?
Hakuna popote ambapo viongozi wa PCT walikiri kuwa wamekosea na kuomba radhi, kama unasema walifanya hivyo, leta vielelezo hapa jukwaani. walichosema ni kwamba, hawawezi kuifunua Aibu ya baba yao, kwani sivyo ilivyo katika maandiko matakatifu.Dispatch zinakiri kupokelewa kwa Majina hayo on time, pangekuwa na kasoro ni suala la kufanya mawasiliano na PCT kama moja ya makundi ya Watanzania ili warekebishe na kusonga mbele, kama si NIA OVU ya J.K na watu wake wa karibu dhidi ya Wapentekoste ni nini?Walijua kabisa kuwaruhusu hawa watu ni sawa na kujipalia makaa vichwani mwao kwani wasingeweza kuhujumu huu mchakato wa katiba.
Kwa hiyo ndugu yangu, acha kujifanya huna kichwa na kuamua kutumia Ma------ kufikiria.Umekurupuka!!!Kama ni thread inayokuingizia Buku 7 hapo lumumba, we shukuru Mungu kwamba wote hapo ni VILAZA kwa hiyo hawatashtukia kuwa ulichoandika ni UPUUZI!