OMARI OMARI afariki dunia

OMARI OMARI afariki dunia

atakuwa yule aloimba "kazi yangu ya dukani inaniweka matatani". r.i.p omar. mia[/QU mia mwenyewe mana toka umeijua hyo mia imekuwa tabu.we nawe mzaramo wa wapi hufahamu hata waimbaji wenu,huyo wa kaz ya dukan anaitwa dogo mfaume,alokufa anaitwa omari omari.

joe5 una mikwala sana, na yule aloimba na nature "hata kikwete angekwenda na maji, vijiko vyote vimekwenda na maji". anaitwa nani?. mia
 
Last edited by a moderator:
kwa wasio mjuwa Omar Omar huyu hapa pichani.R.I.P
 

Attachments

  • omar.jpg
    omar.jpg
    5.9 KB · Views: 443
Inna lilah waina ilaih rajiuuun......
 
Jaman lazima tutumie akili, kuna ubaya gani Rais kuhudhuria msiba wa raia wake km anayo nafasi, mbona mnataka kuweka itikad ktk mambo yasiyohusu? Km kuna viongoz wa vyama wako busy sana kias wao misiba ni upuuz basi hakuna haja ya wafuasi wao kuwashambulia watu wanaojua utu. Na nikuombe bwana Mizambwa jaribu kutoka ktk box la udini, mi km ww ni mkristo nimebatizwa,na naishi kwa kumfuata kristo ila sion hasara kukuambia kuwa ww ni mdini, usitupeleke huko.
 
unahisi bila kumtaja Jk usingeeleweka..
 
wekeni picha picha yake na mtueleze ameimba nyimbo gani sababu wasanii wapo wengi,pia ata matapeli nao uitwa wasanii siku hizi,tunaomba picha na nyimbo alizoimba,na nin kimemuua
Picha yake hiyo Wimbo ....kupata Majaliwa
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    22.1 KB · Views: 163
JK analijua hili? wasaidi wake mko wapi tunasubiri press release.....
RIP ndugu
 
My Allah rest his soul in eternal peace!
 
Jk hakwenda kumjulia hali yule padri wa znz?
Jk hakwenda mbagala kwenyenuchomaji wa makanisa?
Sometimes tuwe tunafikiria vya kuongea wakuu tutakua lini?
Ni kweli alikwenda. Na mara nyingi huwa hata hospital kuwajulia hali wagonjwa anaowafahamu huenda. Ndicho alichojaliwa na ndiyo ibada yake.
 
Udhibiti upi unaoutaka mkuu?
Sheikh ponda na wenzake wako wapi?... Kama sio nyuma ya bars... Huo ni nini sio kama udhibiti?
Wale waislamu kipindi kile baada ya sala ya ijumaa si walitaka kuanzisha vurugu tena mpaka jeshi likatumwa?
Baada ya hapo si kila kitu kilitulia hiko ni nini kama sio udhibiti?

Kila siku tunaona kuna mazungumzo kati ya mapadri na ma sheikh kuhusu swala la amani baada ya yale matukio huko wewe unakuitaje kama sio udhibiti?

Je baada ya ile kuna chochote umekisikia kuhusu uchomaji wa makanisa?? Wewe unakuitaje kama sio udhibiti?

Au wewe ulitaka rais wako afanye nini??
Au udhibiti gani unaoungelea hapa mkuu?
 
Asante sana Mkuu;

Je, ni hatua gani amechukua yeye pamoja na serikali yake katika kudhibiti vitendo hivi, ambavyo vinatia hofu na kuharibu mali za Makanisa. yaani utadhani kama hakuna vyombo vya Dola!!!!!!!!

Kama ni kwenda kumuona Padri au kutembelea makanisa Mbagala hata mimi kote huko nilienda lakini sina la kufanya katika kudhibiti vitendo hivi.

Hivyo kwenda na kutembelea si dawa, kinachotakiwa ni kudhibiti, tena Serikali haionyeshi kuguswa na vitendo hivi hata kidogo na ndio maana wamekaa kimya nawahalifu wanaendelea.

Mwaka uliopita ni mwaka wa kukumbukwa kwa Mapadri na Kanisa nchini kwani ni jumla ya mapadri watatu wamepigwa, wamejeruhiwa.

Je, ni jambo la kuchekeachekea hili??????

Ingelikuwa ni Misikiti imechomwa na kuharibiwa mali za Misikitini ambapo Wakristo wamehusika. Hivi Tungepumua kweli hapa Tanzania???

Sometimes fikiria kabla ya kuongea. mkuu tutakua lini??




MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Udhibiti upi unaoutaka mkuu?
Sheikh ponda na wenzake wako wapi?... Kama sio nyuma ya bars... Huo ni nini sio kama udhibiti?
Wale waislamu kipindi kile baada ya sala ya ijumaa si walitaka kuanzisha vurugu tena mpaka jeshi likatumwa?
Baada ya hapo si kila kitu kilitulia hiko ni nini kama sio udhibiti?

Kila siku tunaona kuna mazungumzo kati ya mapadri na ma sheikh kuhusu swala la amani baada ya yale matukio huko wewe unakuitaje kama sio udhibiti?

Je baada ya ile kuna chochote umekisikia kuhusu uchomaji wa makanisa?? Wewe unakuitaje kama sio udhibiti?

Au wewe ulitaka rais wako afanye nini??
Au udhibiti gani unaoungelea hapa mkuu?
 
Back
Top Bottom