figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,681
- 59,179
kupata ni majaaliwa ndo naijua.. Upo mia? Mic you
yeah nikweli mkuu. kaimba ng'ombe amekosa ndevu lakini mbuzi kapewa, usinione mnyonge kupata ni majaliwa. Gobore kathibitisha kifo chake. mazishi yatafanyika leo pale kwa baba yake mikoroshini maeneo ya mwembe yanga temeke. ukifika pale kisumu bar ulizia tu utaelekezwa coz pale mwembe yanga ndo kijiwe chake cha nyumbani. R.I.P. Mia