OMARI OMARI afariki dunia

OMARI OMARI afariki dunia

Omari Omari msanii maarufu wa mchiriku amefariki dunia, ....(source clouds fm).....bila shaka JK atahudhuria mazishi yake.

How could he miss that, ni mtu wa 'watu' you know!
 
kuna haja ya kumention kuwa JK atahudhuria?
acha dhihaka
 
Kama kuhudhuria misiba ndo kuonekana mtu wawatu,bora nionekane mbaya kabisa khaaaa

Mtu wa watu husaidia watu watoke kwenye hali duni, kwenda kwenye hali nzuri walau kidogo. Naona yeye anafaa kuitwa mtu wa wafu; samahani lkn.
 
Pumzika kwa amani

bila shaka rais kashaunda tume ya kwenda kuandaa sehemu yake ya kukaa viti meza na maji ya kunjwa

mzikaji huzikwa pia
 
hivi watu wanaotumia misiba kuleta ushabiki wa kisiasa na mambo ya kishambenga wana akili kweli? sasa mtu anatoa taarifa ya msiba ambayo ni ya kusikitisha lakini anakazana mpaka anahakikisha kamuhusisha na rais! au ndo usomi wa siku hizi?
 
Omari Omari msanii maarufu wa mchiriku amefariki dunia, ....(source clouds fm).....bila shaka JK atahudhuria mazishi yake.
Mhh haya sasa. Jamani mwacheni huyu mtu apumzike kama angekua wa kusikia.jamani uongozi tabu! Kaacha safari kahamia misibani lol ama kweli huyu kiumbe ni chaguo
la Mungu!!
 
vlcsnap-2013-01-08-10h23m46s30.png
R.I.P kamanda.
 
Omari Omari msanii maarufu wa mchiriku amefariki dunia, ....(source clouds fm).....bila shaka JK atahudhuria mazishi yake.
hayo maneno ya mwisho hayakua na ulazima..........R.I.P.Omari
 
Pumzika kwa amani

bila shaka rais kashaunda tume ya kwenda kuandaa sehemu yake ya kukaa viti meza na maji ya kunjwa

mzikaji huzikwa pia

Watu wa Ukanda bwana yaani hata hajui anajadili nini kazi majungu tu, hapa mada inamuhusu Omary Omary Mtaalam wa Mnanda sio Rais.
 
Back
Top Bottom