....(source clouds fm).....bila shaka JK atahudhuria mazishi yake.
Itakuwa ngwengwe. RIP
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Lakini ni tofauti na Omari Mkali,si ndiyo?
Nami nimesikia sikumfahamu maana haukupigwa wimbo angalau kutukumbusha.
JK Mwenyewe msanii ndio maana wasanii wenzake wakipatwa na matatizo anakua mstari wa mbele kuwasaidia...R.I.P Omari
atakuwa yule aloimba "kazi yangu ya dukani inaniweka matatani". r.i.p omar. mia