Ole Sabaya Yuko Wapi? Kila Mahali Haonekani!

Toka atenguliwe na itangazwe anachunguzwa DC mwenye tuhuma Ole Sabaya haonekani popote sio nyumbani sio vituo vya polisi.
Sisi watu wa habari tulitaka kufanya naye mahojiano naye kupata habari zake za ukweli tofauti na mahojiano aina ya Clouds media.
Sasa hivi Sabaya ni mtu maarufu sana hasa katika nyanja ya kuwa Mwanasiasa Jambazi hivyo kupata mahojiano naye atashare na wengine uzoefu wake kwenye nyanja hiyo.
Au naye kesha chukuliwa na watu wasio julikana?
Anayefahamu atujulishe tumfate tukamilishe lengo letu

Kwa Usalama wake inabidi ajifiche maana wana HAI wanaweza kumpasua.
 
Toka atenguliwe na itangazwe anachunguzwa DC mwenye tuhuma Ole Sabaya haonekani popote sio nyumbani sio vituo vya polisi.
Sisi watu wa habari tulitaka kufanya naye mahojiano naye kupata habari zake za ukweli tofauti na mahojiano aina ya Clouds media.
Sasa hivi Sabaya ni mtu maarufu sana hasa katika nyanja ya kuwa Mwanasiasa Jambazi hivyo kupata mahojiano naye atashare na wengine uzoefu wake kwenye nyanja hiyo.
Au naye kesha chukuliwa na watu wasio julikana?
Anayefahamu atujulishe tumfate tukamilishe lengo letu
Yupo mabatini
Tukupe namba yake?
 
Moja ya mambo tulitaka kumhoji ni hili la ubilionea wake!
Kwamba iweje miaka 2 iliyopita alikuwa anaishi kwa kunywa bia na nyama za kukopa pale Arusha au kutumia kitambulisho bandia cha TISS na leo ni bilionea?
Alikuwa anafanya biashara gani Hai? Au mihandarati?
Bilionea anayedaiwa na hotel zote kubwa zilizopo Arusha na Moshi. Si chini ya milioni 10 each
 
Mungu ana makusudi mema na nchi hii. Baada ya kuona tumeteseka vya kutosha akatuondolea mwendazake.

Kisha Mungu akapandikiza roho mtakatifu kwa mama SSH, naye anaendeleza kazi nzuri ya kuondoa uozo

Mama alianza na Dr. Bashiru......out
Kakoko mbeba hela za bandari kupeleka kwa mwendazake. ...out
Dotto James aliyekuwa anachota tu mihela na kuipeleka CHATO ....out.
Biswalo aliyekuwa anawasukia watu mashitaka fake ...out
Gen. Mbung'o aliyekuwa anabambikia watu watu tuhuma za rushwa ..out
Sabaya mpenda ubabe na ujambazi...out

Kazi iendelee.!
amini amini amini nakwambia.

kama unadhani msoto wako unasbabishwa au unaondolewa na mtu,bado utateseka sana.
 
Mungu ana makusudi mema na nchi hii. Baada ya kuona tumeteseka vya kutosha akatuondolea mwendazake.

Kisha Mungu akapandikiza roho mtakatifu kwa mama SSH, naye anaendeleza kazi nzuri ya kuondoa uozo

Mama alianza na Dr. Bashiru......out
Kakoko mbeba hela za bandari kupeleka kwa mwendazake. ...out
Dotto James aliyekuwa anachota tu mihela na kuipeleka CHATO ....out.
Biswalo aliyekuwa anawasukia watu mashitaka fake ...out
Gen. Mbung'o aliyekuwa anabambikia watu watu tuhuma za rushwa ..out
Sabaya mpenda ubabe na ujambazi...out

Kazi iendelee.!
Unajua mengi ebu tupe utam kwa kirefu kidogo
 
Back
Top Bottom