Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,122
- 8,355
Hamduni atamla mzuti bila kilainishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamduni atamla mzuti bila kilainishi
Unachekelea matusi[emoji23]?Haaaaa Haaaaa [emoji23] wamemichekeshaa hao
Umemsahau mpiga filimbi na hesabu za magazijuto Polepole naye out..!!Mungu ana makusudi mema na nchi hii. Baada ya kuona tumeteseka vya kutosha akatuondolea mwendazake.
Kisha Mungu akapandikiza roho mtakatifu kwa mama SSH, naye anaendeleza kazi nzuri ya kuondoa uozo
Mama alianza na Dr. Bashiru......out
Kakoko mbeba hela za bandari kupeleka kwa mwendazake. ...out
Dotto James aliyekuwa anachota tu mihela na kuipeleka CHATO ....out.
Biswalo aliyekuwa anawasukia watu mashitaka fake ...out
Gen. Mbung'o aliyekuwa anabambikia watu watu tuhuma za rushwa ..out
Sabaya mpenda ubabe na ujambazi...out
Kazi iendelee.!
Kwani wamefanya matusi tayari? Kuna mmoja aliagiza mafuta? 🤔Unachekelea matusi[emoji23]?
Heee!! .....hili jamaaa utoto mwingi lina miaka mingapi kwani???? ......mnajisumbua tu kukomaa na watoto wadogo km hawa mmchape viboko tu aende zake!!!Yuko kwenye maombi mazito hasa akikumbuka Hamduni leo ndio Boss TakukuruView attachment 1786712
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Ni mtu mzima ana miaka 34 sema ni mpuuzi tu wa kuzaliwaHeee!! .....hili jamaaa utoto mwingi lina miaka mingapi kwani???? ......mnajisumbua tu kukomaa na watoto wadogo km hawa mmchape viboko tu aende zake!!!
Angalia sasa anaimba kwaya na wasabato yaaani !! jiwe sijui alichanganyikiwa nini..............kumteua huyu!!!! mweee!
Mwanasiasa jambazi?Toka atenguliwe na itangazwe anachunguzwa DC mwenye tuhuma Ole Sabaya haonekani popote sio nyumbani sio vituo vya polisi.
Sisi watu wa habari tulitaka kufanya naye mahojiano naye kupata habari zake za ukweli tofauti na mahojiano aina ya Clouds media.
Sasa hivi Sabaya ni mtu maarufu sana hasa katika nyanja ya kuwa Mwanasiasa Jambazi hivyo kupata mahojiano naye atashare na wengine uzoefu wake kwenye nyanja hiyo.
Au naye kesha chukuliwa na watu wasio julikana?
Anayefahamu atujulishe tumfate tukamilishe lengo letu
Dotto out yuko wapi kijijini au kazi ya awali????? daa lile Jiwe!! jamaa lilikuwa na upendeleo wa waziwazi, tena wa kibabe wa kizamani mno!! Mtu wa kisasa hawezi kuwa na upendeleo wa kijinga hivi, ndo yamemkuta sasa! angaliaMungu ana makusudi mema na nchi hii. Baada ya kuona tumeteseka vya kutosha akatuondolea mwendazake.
Kisha Mungu akapandikiza roho mtakatifu kwa mama SSH, naye anaendeleza kazi nzuri ya kuondoa uozo
Mama alianza na Dr. Bashiru......out
Kakoko mbeba hela za bandari kupeleka kwa mwendazake. ...out
Dotto James aliyekuwa anachota tu mihela na kuipeleka CHATO ....out.
Biswalo aliyekuwa anawasukia watu mashitaka fake ...out
Gen. Mbung'o aliyekuwa anabambikia watu watu tuhuma za rushwa ..out
Sabaya mpenda ubabe na ujambazi...out
Kazi iendelee.!
Wana ccm ni wapumbavu sana . Wao wanaamini kwenye uzandiki .yani mtu kama sabaya unamsafishaje sasaKuna mahali walikuwa wamejifungia Jana kwa ajili ya kuanzisha topic za kujitetea as if wanaccm hawakupendezwa kwa kutumbuliwa kwake.
Ushauri wangu kama mwanaccm mwenzangu awaombe msamaha wote aliowakosea ili aweze kuwa huru ili mtaani aonekane la sivyo dhamira itamtesa sana na nwisho wake hautakuwa mzuri