si huyu tu , bali wasaliti wote hawatarudishwa , maana imeandikwa kwamba usaliti ni laana kubwa sanaMBUNGE WA CHADEMA ALIYEHAMIA CCM ALALAMIKIA KUAMBIWA HATARUDI 2020
Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Ole Milya, ambaye alihamia chama hicho akitokea CHADEMA, ameeleza kutishiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwa hawezi kurudi tena kugombea jimbo hilo, kwa kile alichokidai watu hao wana ukaribu na baadhi ya viongozi wa juu.
Mbunge Ole Milya ametoa kauli hiyo mkoani Manyara, wakati wa mkutano wa hadhara ambao ulihudhuriwa na Waziri wa Madini Dotto Biteko, ambapo Mbunge huyo alitoa madai mbalimbali akimtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti.
"Naambiwa kuna ripoti inatoka wiki ijayo ikimshambulia Mbunge, kuwa anatetea baadhi ya watu, nimepiga kelele kama Mbunge muda mrefu sitaki wananchi wangu waendelee kuteswa, kwa sababu ya watu wachache wanaofanya mambo ya hovyo" amesema Mnyeti.
"Sisi wengine ambao tunatafuta kura eti kwa sababu kuna viongozi hapa wanaukaribu na kiongozi wa juu wa chama na nchi, sisi 2020 hatutakuwa Wabunge, eti atafanya vituko, tuko tayari kutokuwa Wabunge lakini haki ya watu isimamiwe." amesema Ole Milya.
Uchaguzi wa chadema lini?View attachment 1215750
Usije ukathubutu kufanya mchezo na wahenga , walionya kitambo sana kwamba usitukane wakunga ikiwa bado una mayai , maana waweza kutunga mimba ukashindwa kusaidiwa ili ujifungue salama
Habari zinazozunguka kutoka Simanjilo ndio kama mlivyosikia , tulishawaonya mapema sana kwamba Shetani hana rafiki .
unaambiwa polepole kaenda kuwasomesha wazee na fungu mkononi lakini katimuliwaMalipo ni hapa hapa duniani!!
jikite kwenye madaUchaguzi wa chadema lini?
Haina shida, atarudi CHADEMA na kugombea kwa tiketi yao, atashinda tena halafu CCM tutamnunua tena?View attachment 1215750
Usije ukathubutu kufanya mchezo na wahenga , walionya kitambo sana kwamba usitukane wakunga ikiwa bado una mayai , maana waweza kutunga mimba ukashindwa kusaidiwa ili ujifungue salama
Habari zinazozunguka kutoka Simanjilo ndio kama mlivyosikia , tulishawaonya mapema sana kwamba Shetani hana rafiki .
natamani nilitukane li Milya lakini nitafungiwa.MBUNGE WA CHADEMA ALIYEHAMIA CCM ALALAMIKIA KUAMBIWA HATARUDI 2020