Ole Millya ameambiwa jina lake halitarudi 2020

Ole Millya ameambiwa jina lake halitarudi 2020

Jamaa alikuwa CCM akaenda CDM halafu akarudi CCM. Duh! hapo aliyesalitiwa ni nani?
 
Unyama walioifanyia chadema hawa watu hausameheki haswa Edward L.ingikuwa Ben Sanane hakutoweshwa,tundu lisu nakupigwa risasi wangesamewa kwenda kukaa na watesi,inafanya kuna slaa alionewa ila naye alikanyaga kinyesi pale serena
 
Mbunge anasikitika maana haoni tofauti yoyote ktk ofisi yake alipokua cdm na alipo ccm viti ni vile vile na meza pia
 
Back
Top Bottom