Ole Millya ameambiwa jina lake halitarudi 2020

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,426
MBUNGE WA CHADEMA ALIYEHAMIA CCM ALALAMIKIA KUAMBIWA HATARUDI 2020

Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Ole Milya, ambaye alihamia chama hicho akitokea CHADEMA, ameeleza kutishiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwa hawezi kurudi tena kugombea jimbo hilo, kwa kile alichokidai watu hao wana ukaribu na baadhi ya viongozi wa juu.

Mbunge Ole Milya ametoa kauli hiyo mkoani Manyara, wakati wa mkutano wa hadhara ambao ulihudhuriwa na Waziri wa Madini Dotto Biteko, ambapo Mbunge huyo alitoa madai mbalimbali akimtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti.

"Naambiwa kuna ripoti inatoka wiki ijayo ikimshambulia Mbunge, kuwa anatetea baadhi ya watu, nimepiga kelele kama Mbunge muda mrefu sitaki wananchi wangu waendelee kuteswa, kwa sababu ya watu wachache wanaofanya mambo ya hovyo" amesema Mnyeti.

"Sisi wengine ambao tunatafuta kura eti kwa sababu kuna viongozi hapa wanaukaribu na kiongozi wa juu wa chama na nchi, sisi 2020 hatutakuwa Wabunge, eti atafanya vituko, tuko tayari kutokuwa Wabunge lakini haki ya watu isimamiwe." amesema Ole Milya.
 
Kidume anaweza kumtaliki Mkewe kisa kamfumania halafu akaenda kuoa Mwanamke aliyeachika kwa kufumaniwa 😂
Siasa huwa haitabiriki kama Kidume kwenye ndoa ,

Ingawa inaweza kuwa ni kauli za kutunga ili kujihakikishia nafasi kwa Jiwe 2020.
 
MBUNGE WA CHADEMA ALIYEHAMIA CCM ALALAMIKIA KUAMBIWA HATARUDI 2020

Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Ole Milya, ambaye alihamia chama hicho akitokea CHADEMA, ameeleza kutishiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwa hawezi kurudi tena kugombea jimbo hilo, kwa kile alichokidai watu hao wana ukaribu na baadhi ya viongozi wa juu.

Mbunge Ole Milya ametoa kauli hiyo mkoani Manyara, wakati wa mkutano wa hadhara ambao ulihudhuriwa na Waziri wa Madini Dotto Biteko, ambapo Mbunge huyo alitoa madai mbalimbali akimtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti.

"Naambiwa kuna ripoti inatoka wiki ijayo ikimshambulia Mbunge, kuwa anatetea baadhi ya watu, nimepiga kelele kama Mbunge muda mrefu sitaki wananchi wangu waendelee kuteswa, kwa sababu ya watu wachache wanaofanya mambo ya hovyo" amesema Mnyeti.

"Sisi wengine ambao tunatafuta kura eti kwa sababu kuna viongozi hapa wanaukaribu na kiongozi wa juu wa chama na nchi, sisi 2020 hatutakuwa Wabunge, eti atafanya vituko, tuko tayari kutokuwa Wabunge lakini haki ya watu isimamiwe." amesema Ole Milya.
Kwani lazima awe mbunge, hawezi kufanya kazi nyingine? Hatari Sana aisee
 
Analalamika nini sasa kwani ccm si alirudi kwa tamaa zake
 
MBUNGE WA CHADEMA ALIYEHAMIA CCM ALALAMIKIA KUAMBIWA HATARUDI 2020

Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Ole Milya, ambaye alihamia chama hicho akitokea CHADEMA, ameeleza kutishiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwa hawezi kurudi tena kugombea jimbo hilo, kwa kile alichokidai watu hao wana ukaribu na baadhi ya viongozi wa juu.

Mbunge Ole Milya ametoa kauli hiyo mkoani Manyara, wakati wa mkutano wa hadhara ambao ulihudhuriwa na Waziri wa Madini Dotto Biteko, ambapo Mbunge huyo alitoa madai mbalimbali akimtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti.

"Naambiwa kuna ripoti inatoka wiki ijayo ikimshambulia Mbunge, kuwa anatetea baadhi ya watu, nimepiga kelele kama Mbunge muda mrefu sitaki wananchi wangu waendelee kuteswa, kwa sababu ya watu wachache wanaofanya mambo ya hovyo" amesema Mnyeti.

"Sisi wengine ambao tunatafuta kura eti kwa sababu kuna viongozi hapa wanaukaribu na kiongozi wa juu wa chama na nchi, sisi 2020 hatutakuwa Wabunge, eti atafanya vituko, tuko tayari kutokuwa Wabunge lakini haki ya watu isimamiwe." amesema Ole Milya.
Hata Yuda alipo msaliti Yesu kwa vipande vya pesa alikataliwa na hata wale walio mpa hizo pesa
 
Back
Top Bottom