Ole Millya ameambiwa jina lake halitarudi 2020

Hizo ni salam kwa wale wote walio hama kutoka upinzani kwenda kuunga mkono na wakapatiwa uteuzi moja kwa moja na kuwaacha wana ccm wakipiga miayo
MBUNGE WA CHADEMA ALIYEHAMIA CCM ALALAMIKIA KUAMBIWA HATARUDI 2020

Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Ole Milya, ambaye alihamia chama hicho akitokea CHADEMA, ameeleza kutishiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwa hawezi kurudi tena kugombea jimbo hilo, kwa kile alichokidai watu hao wana ukaribu na baadhi ya viongozi wa juu.

Mbunge Ole Milya ametoa kauli hiyo mkoani Manyara, wakati wa mkutano wa hadhara ambao ulihudhuriwa na Waziri wa Madini Dotto Biteko, ambapo Mbunge huyo alitoa madai mbalimbali akimtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti.

"Naambiwa kuna ripoti inatoka wiki ijayo ikimshambulia Mbunge, kuwa anatetea baadhi ya watu, nimepiga kelele kama Mbunge muda mrefu sitaki wananchi wangu waendelee kuteswa, kwa sababu ya watu wachache wanaofanya mambo ya hovyo" amesema Mnyeti.

"Sisi wengine ambao tunatafuta kura eti kwa sababu kuna viongozi hapa wanaukaribu na kiongozi wa juu wa chama na nchi, sisi 2020 hatutakuwa Wabunge, eti atafanya vituko, tuko tayari kutokuwa Wabunge lakini haki ya watu isimamiwe." amesema Ole Milya.
 
Kidume anaweza kumtaliki Mkewe kisa kamfumania halafu akaenda kuoa Mwanamke aliyeachika kwa kufumaniwa [emoji23]
Siasa huwa haitabiriki kama Kidume kwenye ndoa ,

Ingawa inaweza kuwa ni kauli za kutunga ili kujihakikishia nafasi kwa Jiwe 2020.
Ukiambiwa neno kutoka kwa Mneti amini kuwa huo ndiyo ukweli
 
MBUNGE WA CHADEMA ALIYEHAMIA CCM ALALAMIKIA KUAMBIWA HATARUDI 2020

Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Ole Milya, ambaye alihamia chama hicho akitokea CHADEMA, ameeleza kutishiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwa hawezi kurudi tena kugombea jimbo hilo, kwa kile alichokidai watu hao wana ukaribu na baadhi ya viongozi wa juu.

Mbunge Ole Milya ametoa kauli hiyo mkoani Manyara, wakati wa mkutano wa hadhara ambao ulihudhuriwa na Waziri wa Madini Dotto Biteko, ambapo Mbunge huyo alitoa madai mbalimbali akimtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti.

"Naambiwa kuna ripoti inatoka wiki ijayo ikimshambulia Mbunge, kuwa anatetea baadhi ya watu, nimepiga kelele kama Mbunge muda mrefu sitaki wananchi wangu waendelee kuteswa, kwa sababu ya watu wachache wanaofanya mambo ya hovyo" amesema Mnyeti.

"Sisi wengine ambao tunatafuta kura eti kwa sababu kuna viongozi hapa wanaukaribu na kiongozi wa juu wa chama na nchi, sisi 2020 hatutakuwa Wabunge, eti atafanya vituko, tuko tayari kutokuwa Wabunge lakini haki ya watu isimamiwe." amesema Ole Milya.
laana imamtafuna, wananchi wamekuamini kwa moyo wote wewe kwa tumbo lako ukaamua kuwasalito huwezi kuishi kwa amani.
 
MBUNGE WA CHADEMA ALIYEHAMIA CCM ALALAMIKIA KUAMBIWA HATARUDI 2020

Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Ole Milya, ambaye alihamia chama hicho akitokea CHADEMA, ameeleza kutishiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwa hawezi kurudi tena kugombea jimbo hilo, kwa kile alichokidai watu hao wana ukaribu na baadhi ya viongozi wa juu.

Mbunge Ole Milya ametoa kauli hiyo mkoani Manyara, wakati wa mkutano wa hadhara ambao ulihudhuriwa na Waziri wa Madini Dotto Biteko, ambapo Mbunge huyo alitoa madai mbalimbali akimtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti.

"Naambiwa kuna ripoti inatoka wiki ijayo ikimshambulia Mbunge, kuwa anatetea baadhi ya watu, nimepiga kelele kama Mbunge muda mrefu sitaki wananchi wangu waendelee kuteswa, kwa sababu ya watu wachache wanaofanya mambo ya hovyo" amesema Mnyeti.

"Sisi wengine ambao tunatafuta kura eti kwa sababu kuna viongozi hapa wanaukaribu na kiongozi wa juu wa chama na nchi, sisi 2020 hatutakuwa Wabunge, eti atafanya vituko, tuko tayari kutokuwa Wabunge lakini haki ya watu isimamiwe." amesema Ole Milya.
Kwani kondom ikishatumika inarudiwa tena? Huyo ameshatumika basi inatosha,safi sana.
 
2020 itakuwa ni fujo kwa hawa wenzetu wa kijani kwani kila mbunge haelewani ama na DC au rc,yaani mpaka tunabaki kucheka tu,mara huku msiba Mara kule wazee waandishi wa waraka wa kipumbavu
Mimi natamani yatwangane risasi kabisa.
 
Back
Top Bottom