NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
Hivi unajua ile scene ya sex kulikuwa na wimbo unaimbwa
'kaanda ya nini oohh mamaa'
sijausahau huo wimbo ha ha haa
Hivi unajua ile scene ya sex kulikuwa na wimbo unaimbwa
'kaanda ya nini oohh mamaa'
sijausahau huo wimbo ha ha haa
American Assasination (2017)Za sasa kali ni zipi
Huu mkanda tuliazima kwa jirani tukautafishaga kabsaLucky seven watoto saba
Ukisikia kale ka mwimbo tantalala talala......
Mia 2 and 3Missing in action.
Blue lagoon is my favorite.Naielewa sana yellow card ilikuwa ya south africa ikielezea maswala ya ukimwi pia the blue lagoon(hii ni kwa above 20+) maana above 18+ naona haitoshi
Mbona nyingi za kizazi cha jakaya mkuuDEATH WARRANT
HEROES SHED NO TEARS
BLOOD DIAMOND
ESCAPE FROM SORBIBOR
SHOOTER
THREE IDIOTS
UNDISPUTED II&III
TAKEN
FIST OF FULL
TRUE LEGEND
KICK BOXER
NINJA ASSASSINATION
Sisiii watoto Saba hatutakii ugomviiiii [emoji445][emoji445]Huu mkanda tuliazima kwa jirani tukautafishaga kabsa
Habar ndugu wana JF,bila shaka tuko pamoja katika swala la burudani,ebu tuhamie katika nyanja ya burudani za cinema hasa zile za kitambo kidogo kwani,cha kale dhahabu hii imejidhihilisha katika matoleo ya cinema za zamani kidogo na za sasa,mimi naamini movie za zamani zilikuwa poa sana tofauti na za sasa,kwani zilikuwa na uhalisia safi na mbinu za kipekee zaidi,sasa basi hebu tukumbushane na tuchangie kuzifumua movie hizo mafichoni za kila categories, drama,action,comedy,horror... N.k..,za enzi izo......mfano hii war bus bonge moja la action enzi izo...1988-1989![]()
....rambo noma hii wengi wetu tunaitambua.![]()
...american ninja...hii ilichezwa na michael ddkoff.![]()
Zipo kibao embu tukumbushane tupate kuburudika pamoja.
Mkuu nadhani ni collateral damageKuna ile ya anord na ugaid wa mwarabu mmoja wa nyuklia. Anord alikua ni afisa usalama wa marekani.
Anaeijua anikumbushe plz niidownload.
DRIVE