Old movie share hapa, wote tuburudike

Old movie share hapa, wote tuburudike

Habar ndugu wana JF,bila shaka tuko pamoja katika swala la burudani,ebu tuhamie katika nyanja ya burudani za cinema hasa zile za kitambo kidogo kwani,cha kale dhahabu hii imejidhihilisha katika matoleo ya cinema za zamani kidogo na za sasa,mimi naamini movie za zamani zilikuwa poa sana tofauti na za sasa,kwani zilikuwa na uhalisia safi na mbinu za kipekee zaidi,sasa basi hebu tukumbushane na tuchangie kuzifumua movie hizo mafichoni za kila categories, drama,action,comedy,horror... N.k..,za enzi izo...
4d65f973c6967b9cca13caab7f4ae118.jpg
...mfano hii war bus bonge moja la action enzi izo...1988-1989

4b44844710e8e94eae39f21e67d8742e.jpg
....rambo noma hii wengi wetu tunaitambua.

9c0122715c7080e2f5c5b18149b40ad0.jpg
...american ninja...hii ilichezwa na michael ddkoff.

Zipo kibao embu tukumbushane tupate kuburudika pamoja.
 
collateral damage?mwanae Na Mtoto wanauawa kwa bomu.
hapana sio hiyo anord alikuwa zimamoto gaidi ni mkolombia

ninayosemea mm adui ni gaid wa kiarabu anord alikuwa mwana usalama wa marekan akatumwa kukupeleleza kujua nyuklia zimefichwa wapi.
 
naked weapons

invisible amour

snake style vs eagle style

.snake style vs monkey style.

dead or alive (DOA)
Mkuu hizi si za juzijuzi tu tunataka makitu kama deadly pray,armour of god,once upon a time in china na makitu mengine kama hayo ya miaka ya 90 and backward
 
Platoon
510a30f3de8bd5532f2cbb96d78bda4a.jpg
...Vietnam war,staff Sergeant Baners{Tom Berenger} na Sergeant Elias{Willem Defoe}wanaligawa jeshi la USA katikati ya vita kali na inafikia kujengeana visasi kati yao viongozi...
605b8a33a0fc45c579f6f6ee83717985.jpg
edee12cfdbfee5960515c45bb6f519ee.jpg
hapa Sergeant Gordon Elias akiomba msaada kwa wenzake waliokuwa juu kwenye helicopter baada ya kupigwa risasi na Staff Serg Barnes akiwa anapambana na Vietnamese na USA walishindwa vita hii sababu ikiwa hii hii kila mmoja kuamuru anavyotaka yeye.first time kuiangalia hii movie ilipofikia scene hii ilinitoa chozi aisee.hii si ya kuikosa.
 
Sinema kali sana hii
 
Back
Top Bottom