Ya ukweli sana hiiDRIVE
Hivi hizi movie naweza kuzipata website ipi?
Nenda google andika wahenga action movie.com zote utazipataHivi hizi movie naweza kuzipata website ipi?
Teh teh yule jombaa alichukua maamuzi magumu mwishoni mwa mafunzoFull metal jacket
Hahahaa...gunnery sergeant anawaambia you're all equally worthless..Teh teh yule jombaa alichukua maamuzi magumu mwishoni mwa mafunzo
Btw yule sajenti alikua mnaa sana.
hahaha ni shida pia napenda pale kwenye ile scene ya yule sniper wakike aisee ni hatari yule mjapani cjuiHahahaa...gunnery sergeant anawaambia you're all equally worthless..
BLADE INAITWANyie kuna muvi flan hivi za vampire.zilichezwa na mtu mmja anaitwa wesrey sneips.ila jina la muvi ndo limenitoka.kwa kweli i
Zile muvi nilikuwa nikizichek.nabuludika sana