sa ungejifia huko pekeako ingekuaje,, kama nakuona ulivyokua umelegea kama mlenda😂😂😂😂😂Mi fresh sana.....acha kbsa imenipelekesha sana aise
nilikua busy siku mbili hivi,, ngoja nije kwanza tuyajenge maan I was thinking about yu🤗hata simu zangu hushiki mama mail nazo hujibu😂
Tukiunywa huo mkojo wa shetani wewe unapata shida gani?acheni pombe...pombe ni mkojo wa shetani
senki yuuuuSo bit... karibu sana mama
swali zuri kabisa..nitakujibu nikimaliza kula pilauTukiunywa huo mkojo wa shetani wewe unapata shida gani?