beer

  1. Michael Ngusa

    Mlioijaribu Bia ya Arusha almaarufu "Banana", hebu tupeni feedback

    Nimekuwa nikikatiza maeneo na kukuta hii Bia ingawa binafsi sijawahi ijaribu...ila natamani nione what a local beer has to offer, especially from Arusha! Mliowahi jaribu hii kitu, je ipo level za kina Serengeti na Kilimanjaro? Wengine walikuwa wanasema ati mataputapu, msemo huu una maana gani?