Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Wenzio wanalipwa kupost mambo ya kutiki October. Vipi mwenzangu na wewe umepata mgao?
 
Wapiga kura huwa wanakaa chini kwa kutulia kwenye mikutano.....
Na wengi hawana akauti za sosho media....

 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenz
 
Wabongo wengi ni vilaza, hata wale walioenda huko madarasani! Siasa wanaishabikia kama ilivyo simba na yanga, utakuta kila uzi unaoikosoa CCM wanapo-comment wataya-tag mabumunda ya CCM humu jamvini badala ya kuwa ignore na kuzitelekeza nyuzi zao..
 
Ndugu wananchi tujitokeza kwa wingi kura na kumchagua kiongozi unaemtaka. Kura yako ndo maendeleo ya nchi Yako. #rushwaAdui wa haki.
 
Kundu
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…