Nchini Tanzania Rais dikteta Samia Suluhu anajichubua mwenyewe katika Uchaguzi Mkuu ujao baada ya kuwafungia wapinzani wake, kuwatishia na kuwaua wakosoaji wake.
#TANZANIA: MSIGWA: 'BORA JESHI LA POLISI LIMETOA TAARIFA KUHUSU MADAI YA KUTEKWA KWA POLEPOLE, SIO LAZIMA NISEME MIMI'
"Bora Jeshi la polisi limetoa taarifa kuhusu madai ya kutekwa kwa kwa Humprey Polepole, sio lazima niseme mimi. Jeshi la Polisi ni Chombo la serikali, ndicho Chombo husika. Mimi ntakupa tu taarifa za juu. Ni vizuri kukiacha Chombo kinachohusika kikamilishe uchunguzi wake kitoe taarifa" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumzia swala la kutoweka kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humprey Polepole