Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Hivi kwani yeye majordomo hahusiki kabisa au ndo mambo ya smoke screen tu?


Smoke screen tu kama kwenye Richmond.....

Kwa mujibu Wa ndullu alihitaji ridhaa ya mamlaka za juu ili afungulie mfereji....

Kama unavyojua demoghasia za Africa mkubwa akikaa uchi itabidi ukimbie kumkinga hata kwa kuvua zako....
 
Hahahaha.....hata MaGT wanajifanya hawajaelewa ili Invisible afunguke zaidi kiduchu.....
 
Last edited by a moderator:
hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe jingine.

Anaenichekesha kupita wote ni bwana miamba....

Yeye bado anaamini kuna open room kwa JK kumwacha kitini....
Bahati mbaya Sana hajaisoma ngozi ya boss wake tangu 2005....

Kina chief kiumbe wanakesha kugawa hongo kwa media wakidhani wataweza kuukabili upepo bahati mbaya ni too late....
 
Naomba nijue walioongezeka ukiacha wale tunaowajua waziwazi na wenye mbwembwe!
 
hii kitu kwa presha ya bunge wangekuwa na uwezo wa kupuuzia,ila presha ya nje seems ina nguvu kuliko ya ndani

Na hili jambo ndo linalonikera hasa....kupangiwa kazi na watu wanje...mchana nilitundika hili hapa chini jamvini...

Hiki kitu sikipendi....kwa nini tunashidwa kujitegemea kwenye masuala yanayotuhusu sisi...!? Yaani mpaka watoa mikopo/misaada kandamizi watushikie bango ndo tuwajibishane...?! Lazima tujenge utamaduni wa kujitegemea kwa kila jambo linalotuhusu sisi wenyewe. Kukamata wezi, na kuwashughulikia haihitaji msukumo wa watoa grants kandamizi vinginevyo anayehusika kuwa kamata, kuwawajibisha naye anahusika kwenye wizi na ubadhirifu wa mali za umma wa watanzania. TUJITEGEMEE.
==========
Nikirudi kwenye mada.

Ambao hawakutarajiwa....! Nahisi yatakuwa maamuzi ya kukijaribu kitanzi shingoni akiwa juu ya 'stuli'
 
Kwa maneno mepesi tu ni kwamba JK hawezi kukabiliana na upepo hata kidogo...

Hutenda kulingana na upepo unapoelekea....
JK angekuwa ni mtu wa kutikiswa na upepo angekuwa ameng'oa wengi; tena zamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom