Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Punguza viroba! Haya leo jumanne sema sasa uharo wako!

umeona jinsi HUKAWA ulivyo pata wingi wa mitaa kwenye uchaguzi?nakama wewe ni mfuatiliaji esabu idadi ya kura walizopata chadema na alizopata ccm bila kujali mitaa utagundua kwamba idadi ya wanachadema ni nyingi kulinganisha na ccm, hivyo kama ingekuwa urais basi mshindi angekuwa wa chadema, kama huoni hilo basi wewe si mfuataliaji kama tulivyo sisi kina gogo la shamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom