Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Sijaona la maana hapa, habari gani isiyo na kichwa wala miguu. Weka vitu wazi tukuelewe, sasa unaleta taarabu wamfumba nani sasa. Kama umelewa kalale, habari gani ya kibinti dume zima. aibu hiyo, ng'ombe wewe!
 
Better late than never.

Hata hivyo, nae wanaweza kuja kumlipua mbele ya safari.

Too late,only 9 months left,huyu jamaa since awe anavunja baraza la mawaziri na ile ya kuwaondoa wawili wawili hajapata challenge nadhani kabla ya kufanya maamuzi huwa anadili nao moja moja kuwa hope
 
Invizibo mwaga ----- bhana hii ya kusubiri hadi j3 noma sana
 
Kwani si atawaambia warudishe tu walichopora na hata wasiporudisha hawezi wafanya kitu labda danganya wafadhili kwa wawili watatu kupelekwa mahakamani kwa kesi zisizo na mwisho haswa akizingatia anahesabu tu miezi ya kumalizia ngwe yake.
 
Amechelewa sana jumapili uchaguzi serikali za mitaa wangetumia kama hoja ya kuombea kura the damage has been done!

Afanye tu kuwafurahisha wafadhili hao ndo wanaogopwa kwa sasa kuliko wananchi na bunge lao!

Bado matusi hayataisha kama tutaendelea kupishana nao mitaani. Wakakae Ukonga na sio Segerea
 
unadhani lile tamko la US mchezo? Hawezi kuzikosa 1 trillion kwa ajili ya kuwalinda maswahiba.

aisee kugekuwa na sheria ya kuwafukuza hata ubunge,tatizo watafukuzwa but watakuwa kwenye system kwa upande mwingine
 
Sijaona la maana hapa, habari gani isiyo na kichwa wala miguu. Weka vitu wazi tukuelewe, sasa unaleta taarabu wamfumba nani sasa. Kama umelewa kalale, habari gani ya kibinti dume zima. aibu hiyo, ng'ombe wewe!

Unamwandikia nani hii? Karibu jamvini utayajua mengi
 
Hata hawakutarajia ingekuwa hivi!

Wengine hata najua wazi hawana taarifa na kinachoendelea juu yao. Lakini kaamua, liwalo na liwe.

Mmefanya vema mliofanikisha juhudi za kumpa majina ya ziada; atakuwa aliudhika kukuta aliowaamini nao ni nyoka.


Kafanya jambo jema; lakini kama atafanya hivi bado wale jamaa watalegeza kamba? Kuongezeka kwa watuhumiwa kutaleta neema kwetu kama nyumba?

Naam, weekend imewaendea vibaya; ambao hawakutarajiwa ndo watalia na kusaga meno. Mwaka unaisha vibaya kwao!

Lakini, kilio chao ni kicheko cha wengine! Wenye macho wameona... Wengine vaeni miwani mtaweza soma!

Samahani mkuu ili ni jukwaa la siasa wala si la mafumbo tunaomba fumbo lako lihamishiwa kwenye jukwaa la habari mchanganyiko ama sport entertaiment. No double standard rule in JF hopeful u will held it responsibly
 
Kwani si atawaambia warudishe tu walichopora na hata wasiporudisha hawezi wafanya kitu labda danganya wafadhili kwa wawili watatu kupelekwa mahakamani kwa kesi zisizo na mwisho haswa akizingatia anahesabu tu miezi ya kumalizia ngwe yake.

Ila hata asipo wapeleka yeye historia itakuja kuwapeleka tu. Tumeshuhudia George Bush anatakiwa kujitetea kwa maamuzi mabaya aliyoyafanya miaka alipokuwa madarakani.
 
Binafsi sikuwahi kumuamini "mkulu" .......lakini this time nimeshuhudia wazi watu walivyokuwa wakihaha kujinasua.....nikajiuliza mbona haya? kama "mkulu" yumo kama ninavyohisi mbona hawa tunaoambiwa ndio kawatuma "wanahaha" kama vile hata hawajui nini kinaendelea? ......
 
Zuga tu kwa wafadhili watoe hela otherwise hamna mpya, vifaranga watatolewa migubegube itabaki
 
Ila bado mie ntalia na Ripoti alizosema tupewe, bado nasisitiza ziletwe na uenda tukamuongezea list ya wanao mla kisogo...siku akipumzika ana sababu ya kusema niwaanzishia Utamduni wa UKWELI UKWELI WA UWAZI NA UWELI na sio ile slogan ya kaka yake....enzi zile akisema UKWELI NA UWAZI inavyotoka maweeeee
 
Ha ha ha sikuiona hii...

Invisible waazime miwani kwa muda....

Wameshangaa jamaa kuwabadilikia na hakucheka Cheka nao Kama siku zote.....

Nasikia hata marafiki zake wa ng'ambo aliojiaminisha wanampenda Wanampa makavu live bila kupepesa macho....

Lakini kwa wateule hao wapya binafsi sijaona wala sitarajii Tija yoyote.....

Tija itapatikana wahuni wakifukuzwa wasikaribie sebule yetu namba moja.....
 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika wasio tegemewa wataondoka na walio tegemewa watabaki!


Thubutuuuuu!! watu washapigiwa SIMU warejeshe v8 zetu....

ha ha ha kwa joto lilivyo JK hana ubavu Wa kumwacha MTU maana angewaacha kungerudisha mjadala bungeni kitu ambacho hakitamaniwi tena.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom