Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
swali la kizushi Invisible kwa nini mara nyingi sana mada nyeti kama hizi huwa una penda kupost usiku?Hata hawakutarajia ingekuwa hivi!
Wengine hata najua wazi hawana taarifa na kinachoendelea juu yao. Lakini kaamua, liwalo na liwe.
Mmefanya vema mliofanikisha juhudi za kumpa majina ya ziada; atakuwa aliudhika kukuta aliowaamini nao ni nyoka.
Kafanya jambo jema; lakini kama atafanya hivi bado wale jamaa watalegeza kamba? Kuongezeka kwa watuhumiwa kutaleta neema kwetu kama nyumba?
Naam, weekend imewaendea vibaya; ambao hawakutarajiwa ndo watalia na kusaga meno. Mwaka unaisha vibaya kwao!
Lakini, kilio chao ni kicheko cha wengine! Wenye macho wameona... Wengine vaeni miwani mtaweza soma!
Acha nimwite ccm mwezao mrisho mpoto aje anisaidie hapa
siyo kumu-underestmate jk ni dhaifu tena mwandamizi kabsaaa, hatua atakazo chukua ni kwa hisani ya watu wa marekani.
Ya CAG ipo JF kitambo; sema watu waliisoma bila miwani. Iangalie upya thread yangu utaona kuwa ipo kitambo hapa!
Nawe kweli waweza kuwa ni president kweli maana umejaa utani sana!
nchi yetu ni kama nyumba chafu na ccm ni kama tambara la deki ambalo nalo ni chafu tena kuzidi nyumba yenyewe. Ni upunguani uliokidhiri kuendelea kudhani kuwa tutaisafisha nyumba kwa kutumia tambara hili lilioza. Kadri tutakavyoendelea kulitumia ndivyo tutakavyozidi kuichafua hii nyumba.