Nitoboeeeeeeee? ???
Mkuu....wacha kupaparika km KUKU aliechinjwa MBOWE ameingiaje hapa anafanyakazi Serikalini? Watu tunasema JK hana uwezo wakuadhibu wabadhilifu wee unahamisha GOLI uliona wapi Kiongozi anaejitambua akiwaambia WEZI warudishe PESA kisha hakuna KESI rejea EPA watu tunavumila2 kuwa na VIONGOZI wa Dzaini hii huyo MKAPA unaemuongelea siniwahicho CHAMA cha kiJANI? ndio maana cc wengine tunafanyakazi ucku na mchana kuwatoa madarakani Bila hivyo tutangoja sana NCH kuendelea....!
jf naipenda chane neza!
jewe ndili mchigali,mgihugu che wanyarwanda.
Na mie nakumbia hivi wewe na wenzako wote ambao mnawaamini sana hawa wazungu... hawa jamaa wapo kimaslahi zaidi kuliko wanavyotaka kutuaminisha! Hawa jamaa kama kweli wangekuwa serious na kauli zao kwamba hawa-entertain nchi mafisadi basi hii Tanzania na nchi zote za Afrika ingekuwa zimekatiwa misaada miongo kadhaa iliyopita!! The ONLY condition itakayowafanya hawa jamaa wasikupe misaada ni pale tu unapowadindishia kama anavyofanya Mugabe, otherwise, haya mengine ni politics za ndani ya Senate unless kama unataka kuniambia hapo JK na serikali yake walipozawadia MCC Compact One hii nchi ilikuwa njema!!!Hakuna kitu km hicho JK atafanya hivyo ili awalidhishe waJOMBA,,,SEFUE alisema watafanya uchunguzi upya tangu aseme hadi ss ni muda gani huo uchunguzi umefanyika cku ngapi hadi sasa ndg tambua NCH hii hatuna viongoz ni Matatizo matupu
Busara inanishawishi niishie kusema "pole sana ndugu...!"Ndugu huyo jamaa kavimbiwa hela za esikroo, vyema umeona anavo tka kuhalalisha udhaifu, uvivu, wizi wa jk kwa kumlinganisha na mtangulizi wake ambaye naye ni mwizi pia...
Unaona sasa... eti watu tunavumilia tu kuwa na viongozi wa aina hii!!!! Sasa hapo dhaifu zaidi ni nani? Yule anayeonekana dhaifu au wewe unayewavumilia dhaifu? Na nimekupa mfano wa Mkapa kwa sababu watu dizain yenu mnaamini watu kama akina Mkapa ambao ni wakali huku ukali wao ukiishia kwenye maneno basi ule ukali ndo mnatafsiri ni ujasiri . By the way, kama hufahamu ni namna gani Mbowe na wenzake wamefanywa misukule na JK huku wakiamini wana-deal na dhaifu basi unatakiwa kutafuta tafsiri sahihi ya udhaifu! Hebu jikumbushe akina Lissu walivyokuwa wanawaka huku mitaani na bungeni lakini wakienda Ikulu wanaishia kujichekesha chekesha tu!!!Mkuu....wacha kupaparika km KUKU aliechinjwa MBOWE ameingiaje hapa anafanyakazi Serikalini? Watu tunasema JK hana uwezo wakuadhibu wabadhilifu wee unahamisha GOLI uliona wapi Kiongozi anaejitambua akiwaambia WEZI warudishe PESA kisha hakuna KESI rejea EPA watu tunavumila2 kuwa na VIONGOZI wa Dzaini hii huyo MKAPA unaemuongelea siniwahicho CHAMA cha kiJANI? ndio maana cc wengine tunafanyakazi ucku na mchana kuwatoa madarakani Bila hivyo tutangoja sana NCH kuendelea....!
Hata hawakutarajia ingekuwa hivi!
Wengine hata najua wazi hawana taarifa na kinachoendelea juu yao. Lakini kaamua, liwalo na liwe.
Mmefanya vema mliofanikisha juhudi za kumpa majina ya ziada; atakuwa aliudhika kukuta aliowaamini nao ni nyoka.
Kafanya jambo jema; lakini kama atafanya hivi bado wale jamaa watalegeza kamba? Kuongezeka kwa watuhumiwa kutaleta neema kwetu kama nyumba?
Naam, weekend imewaendea vibaya; ambao hawakutarajiwa ndo watalia na kusaga meno. Mwaka unaisha vibaya kwao!
Lakini, kilio chao ni kicheko cha wengine! Wenye macho wameona... Wengine vaeni miwani mtaweza soma!
Mkuu,nimecheka sana.Invisible
you have been banned!
reason:air pollution
the day ban will be lifted 13 Jan 2015 at 2200hrs
Sijaona la maana hapa, habari gani isiyo na kichwa wala miguu. Weka vitu wazi tukuelewe, sasa unaleta taarabu wamfumba nani sasa. Kama umelewa kalale, habari gani ya kibinti dume zima. aibu hiyo, ng'ombe wewe!
Sijaona la maana hapa, habari gani isiyo na kichwa wala miguu. Weka vitu wazi tukuelewe, sasa unaleta taarabu wamfumba nani sasa. Kama umelewa kalale, habari gani ya kibinti dume zima. aibu hiyo, ng'ombe wewe!
Na mie nakumbia hivi wewe na wenzako wote ambao mnawaamini sana hawa wazungu... hawa jamaa wapo kimaslahi zaidi kuliko wanavyotaka kutuaminisha! Hawa jamaa kama kweli wangekuwa serious na kauli zao kwamba hawa-entertain nchi mafisadi basi hii Tanzania na nchi zote za Afrika ingekuwa zimekatiwa misaada miongo kadhaa iliyopita!! The ONLY condition itakayowafanya hawa jamaa wasikupe misaada ni pale tu unapowadindishia kama anavyofanya Mugabe, otherwise, haya mengine ni politics za ndani ya Senate unless kama unataka kuniambia hapo JK na serikali yake walipozawadia MCC Compact One hii nchi ilikuwa njema!!!
Labda nikukumbushe jambo moja! MCC Compact One ilikuwa 2008-2013! Hii 2008 ni mwaka wa Scandal wa Richmond na ilikuwa ni miaka michache tu tangu scandal ya EPA! Do you believe kwamba kuna cha maana kilifanyika against Richmond & EPA Culprits hata US wa-award MCC One?